mchichaa
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 304
- 120
Mnaboaa na mawigii yenuu ambyo yakipigwa na mvuaa tu yananukaaSasa nywele nivae mie kukereka ukereke wewe khaaa inahusu!!
Hiyo ndiyo kazi ya mvulana kutizama nani kavaa nini na kukereka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaboaa na mawigii yenuu ambyo yakipigwa na mvuaa tu yananukaaSasa nywele nivae mie kukereka ukereke wewe khaaa inahusu!!
Hiyo ndiyo kazi ya mvulana kutizama nani kavaa nini na kukereka!
Kuna wengine ni weusi tii, halafu anavaa wigi kama nywele za mchina, basi anakuwa kama Mchina mweusi, yaani ni kituko! Ukikutana naye unaweza kumkimbia.Mdada anavaa wigi akinyeshewa na mvua anakuwa kama kabeba kuku wa kisasa kichwani, mawigi mwengine yanatoa harufu kali hadi na mfuke.
Pia wigi linaendana na kichwa unakuta mtu ana Komwe anaenda kushonea kiwigi kama cha Rihanna hapo ukimwona kwa mbali utasema katuni za Kipanya.
Haya mambo yanatakiwa ushauri sasa kila msichana mwenye kichwa anavaa wigi wengine hawajui wavae yapi ni kuvaa tu mwishowe unakuwa kama Demiss.Kuna wengine ni weusi tii, halafu anavaa wigi kama nywele za mchina, basi anakuwa kama Mchina mweusi, yaani ni kituko! Ukikutana naye unaweza kumkimbia.
Kama nakuona vile na wewe umevaa nywele za marehemu usiyemjua au umevaa maplastiki kichwani..... Tunakereka ndiyo sababu ninyi mpo ndani ya jamii hii hii na kila mnalolifanya linaweza kuwa linatupendeza sisi wanaume ama linatukera. Lile linalotukera lazima tuseme bila kuwaonea aibu.
Hahaaa.. Yalaaaah. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sasa nywele nivae mie kukereka ukereke wewe khaaa inahusu!!
Hiyo ndiyo kazi ya mvulana kutizama nani kavaa nini na kukereka!
Hahaaa... Yalaaaaah [emoji2] [emoji2] [emoji2]we n mtu wa ajabu Sana .
yani maisha ya MTU wew kwako keroo duuu
Mnajivisha vichwani mwenu matatizo ya watu msiyoyajua. Inasemekana eti kuna wengine huwa wanamajini mahaba na mapepo, sasa wanaponyoa nywele zao na kuziuza, siku wanapofariki, yale majini mahaba au mapepo yanamfuata yule mwanamke anayevaa zile nywele na kumfanya kuwa "mke".Mjiandae tu kisaikolojia maana kuvaa hatuachi.
Acha kabisa mkuu, yaani mwanamke wa Kiafrika akiwa na nywele halisi za Kiafrika, huwa anapendeza sana tena sana tu.Waambie na wamwone Lupita na nywele zake za kijaluo ila mambo safi [HASHTAG]#Blackpanther[/HASHTAG].
Hainihusu maana hizo imani sina.Mnajivisha vichwani mwenu matatizo ya watu msiyoyajua. Inasemekana eti kuna wengine huwa wanamajini mahaba na mapepo, sasa wanaponyoa nywele zao na kuziuza, siku wanapofariki, yale majini mahaba au mapepo yanamfuata yule mwanamke anayevaa zile nywele na kumfanya kuwa "mke".
Ndiyo maana wanawake wengi wanasumbuliwa na matatizo ya maroho machafu bila wao kujua yanatoka wapi. Nywele za mwanadamu zinabeba mambo mengi sana. Ndiyo maana hata Waisraeli walipokuwa wakitubu dhambi, walikuwa wananyoa nywele zote kichwani na mwilini ili kujisafisha upya. Sasa wewe unaponunua nywele za mwenzako ni kama unachukua matatizo yake na kujitwika kichwani. Huu ni mpango wa shetani kuwamaliza bila ninyi kujua.
Ukitaka kujua kama ni mpango wa Shetani, tazama jinsi biashara hii ya mawigi jinsi inavyoshika kasi duniani. Siku zote ukiona kitu kinapendwa sana na wanawake duniani, basi fahamu kuwa shetani ana mkono wake hapo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Watu Wanavichwa Vibaya Hawavai Kwakupenda Kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji26][emoji26]Haya mambo yanatakiwa ushauri sasa kila msichana mwenye kichwa anavaa wigi wengine hawajui wavae yapi ni kuvaa tu mwishowe unakuwa kama Demiss.
Unakuta mwanamke ana kicha kama cha mbo.o, atafugaje nyele za asili?Watu Wanavichwa Vibaya Hawavai Kwakupenda Kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]