Wavaa nywele bandia wakiona picha hizi wanaumia sana

Wavaa nywele bandia wakiona picha hizi wanaumia sana

Siku zote Wanawake hufanya kile ambacho Wanaume huvutiwa nacho!
Sidhani kama wanaume tunavutiwa na hizo kitu hebu fanya tafiti tena.

Sayansi inaonyesha kuwa wanawake hupenda kushindana wao kwa wao. Hivyo swala la mawigi sijui kupakaa zile Niru zao usoni ni kwa minajiri ya kushindana urembo si matakwa ya wanaume.

Wengine hufanya fake make up ili kuficha dosari za kimwili kama nywele mbaya kichwani zinazopunyuka kama mtu mwenye terminal illness, makovu au mabaka, etc.

Wengine hufanya fake make ups kuficha dosari za kiakili au za kitabia. Yote kwa jumla ni kuwa watu huvaa make ups kuficha madhifu yao na hii ni matokeo ya kutojiamini.
 
Mdada anavaa wigi akinyeshewa na mvua anakuwa kama kabeba kuku wa kisasa kichwani, mawigi mwengine yanatoa harufu kali hadi na mvuke.

Pia wigi linaendana na kichwa unakuta mtu ana Komwe anaenda kushonea kiwigi kama cha Rihanna hapo ukimwona kwa mbali utasema katuni za Kipanya.
Ila Rihanna anac komwe.... Mawigi yake huwa anaficha komwe....
 
Kama nakuona vile na wewe umevaa nywele za marehemu usiyemjua au umevaa maplastiki kichwani..... Tunakereka ndiyo sababu ninyi mpo ndani ya jamii hii hii na kila mnalolifanya linaweza kuwa linatupendeza sisi wanaume ama linatukera. Lile linalotukera lazima tuseme bila kuwaonea aibu.
Kuna miaka ya 1990 enzi za nyimbo za akina Kandabongo man kutamba, wakina dada walikuwa na urembo wa kivaa manywele kama kalikiti hiviu, wapakaa shedo nyekundu halafu wanajisiliba mapoda usoni.

Walahi zile picha ukikiziona nyakati hizi unajisemea daaaaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli fashion ni swala la muda tu linageuka kuwa kituko.

Watu walikuwa wanatokea kama mazombie au vampire waliotoka kunywa damu.

Auntie yangu ukimuonyesha hizo video anatamani kitoka nduki anakwambia chana hizo picha.
 
Wengine ni wanawake, tumezaliwa na tutakufa bila nywele za marehemu wa India na nchi zinazozalisha nywele hizi. Hizo ni kwa wanaojiweza, wasiojiweza wanaishia mipira.

Wigi na haya majitu ya kuweka kichwani yanakula nywele. Wataishia kuwa vipara.
 
Wigi, weaving, kusuka, make up.....
tenor.gif
 
Back
Top Bottom