Wavaa nywele bandia wakiona picha hizi wanaumia sana

Kuna wengine ni weusi tii, halafu anavaa wigi kama nywele za mchina, basi anakuwa kama Mchina mweusi, yaani ni kituko! Ukikutana naye unaweza kumkimbia.
 
Kuna wengine ni weusi tii, halafu anavaa wigi kama nywele za mchina, basi anakuwa kama Mchina mweusi, yaani ni kituko! Ukikutana naye unaweza kumkimbia.
Haya mambo yanatakiwa ushauri sasa kila msichana mwenye kichwa anavaa wigi wengine hawajui wavae yapi ni kuvaa tu mwishowe unakuwa kama Demiss.
 

siku shangai kabisaaa.
hapo ndipo akili yako ilipo ishia.
 
Waambie na wamwone Lupita na nywele zake za kijaluo ila mambo safi [HASHTAG]#Blackpanther[/HASHTAG].
 
Mjiandae tu kisaikolojia maana kuvaa hatuachi.
Mnajivisha vichwani mwenu matatizo ya watu msiyoyajua. Inasemekana eti kuna wengine huwa wanamajini mahaba na mapepo, sasa wanaponyoa nywele zao na kuziuza, siku wanapofariki, yale majini mahaba au mapepo yanamfuata yule mwanamke anayevaa zile nywele na kumfanya kuwa "mke".

Ndiyo maana wanawake wengi wanasumbuliwa na matatizo ya maroho machafu bila wao kujua yanatoka wapi. Nywele za mwanadamu zinabeba mambo mengi sana. Ndiyo maana hata Waisraeli walipokuwa wakitubu dhambi, walikuwa wananyoa nywele zote kichwani na mwilini ili kujisafisha upya. Sasa wewe unaponunua nywele za mwenzako ni kama unachukua matatizo yake na kujitwika kichwani. Huu ni mpango wa shetani kuwamaliza bila ninyi kujua.

Ukitaka kujua kama ni mpango wa Shetani, tazama jinsi biashara hii ya mawigi jinsi inavyoshika kasi duniani. Siku zote ukiona kitu kinapendwa sana na wanawake duniani, basi fahamu kuwa shetani ana mkono wake hapo.
 
Waambie na wamwone Lupita na nywele zake za kijaluo ila mambo safi [HASHTAG]#Blackpanther[/HASHTAG].
Acha kabisa mkuu, yaani mwanamke wa Kiafrika akiwa na nywele halisi za Kiafrika, huwa anapendeza sana tena sana tu.
 
Hainihusu maana hizo imani sina.
 
Wanawake wengi wa sasa hivi wanataka miili yao ifanane na wazungu hawataki uasili wao wanaweka makucha feki, nyusi kope na makeup wanajisiliba usoni wakijua wanapendeza kumbe wanaonekana vituko na ndo mwanzo wa wa magonjwa kama saratani zinaongezeka kila siku na haziishi.
 
hili somo halitakaa kueleweka na walengwa wake
 
Watu Wanavichwa Vibaya Hawavai Kwakupenda Kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuta mwanamke ana kicha kama cha mbo.o, atafugaje nyele za asili?

Binafsi napenda sana nyele za asili. Hazinuki, ni imara, hazikwaruzi kwaruzi, yani nywele fupi ndio zinanimzliza.

Juzi hapa demu wangu mmoja alikuja kanivalia wigi sijui weaving, hata ham ya kumtafuna ikakata ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…