Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Mikia mna moyo wa kujifariji hatariBaada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Andaeni kikosi chenu cha kwanza hatutaki visingizio km hivi trh 8/8 usije ukaanza kocha alikua anatengeneza uzoefu wa vijana wadogo wa Makolo FC hatutakiWale watoto watoto Nabi alikuwa anatengeneza uzoefu wa vijana wadogo.
Na atapigwa bao nyingi subiri siku ifike waambieni waandae kikosi Chao cha kwanza hatutaki visingizio km hiviNlijua tu lazima mke mkubwa aanze topic za wivu anataka bao nyingi apigwe yeye tu
Hatugombei sahani ya ubwabwa, ila kwa matusi haya inabidi tufanye kweli ili heshima iendelee.Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Mnajiamini kupita kiasi.Trh 8/8 mkishakandwa na nyinyi mtasema mmeingiza kikosi C ntakutafuta hapahapa nikukande kwa madongo, andaeni kikosi chenu hatutaki visingizio baada ya mechi
Kikosi cha kwanza kilichoshika nafasi ya 10 msimu ulipopita?Weka hapa kikosi cha kwanza halisi cha Kaizer Chiefs. Pengine mashabiki wa bongo wa Kaizer Chiefs wanaijua Kaizer Chiefs kuliko wenye Kaizer Chiefs yao kule Africa Kusini
Mdomo wako utakuponzaBaada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Tutawapiga mpaka mkimbie uwanja umeona kilichowakuta Kaizer leo wamekimbia uwanja sasa nyinyi itakua ×3 ya hii na ole wenu mng'oe viti na muaribu miundombinu ya vyoo maana mkifungwa hamchelewi kwenda kunya ovyoovyo kwenye vyooMnajiamini kupita kiasi.
Mwambie aandae kikosi cha kwanza cha Makolo FC Kaizer tumeshamalizana naoMie ombi langu ni hicho kikosi cha kwanza cha Kaizer Chiefs.
Ndo kipi?
Umeshaiona Simba ikicheza ukajiridhisha kuwa kina mkude na Chama wataifunga?Tutawapiga mpaka mkimbie uwanja umeona kilichowakuta Kaizer leo wamekimbia uwanja sasa nyinyi itakua ×3 ya hii na ole wenu mng'oe viti na muaribu miundombinu ya vyoo maana mkifungwa hamchelewi kwenda kunya ovyoovyo kwenye vyoo
Na nyinyi huko misri mnacheza mechi kwa siri kisha mnatuma matoke kwa wana habari kwa smsBaada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Kwani nyie wavaa sanda mna timu au mnaleta mbwembwe humu ndani!Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Si ndio ukiweke hapa. Si unakijua kiweke hapaKikosi cha kwanza kilichoshika nafasi ya 10 msimu ulipopita?
Duu kikosi C? Nitaka palee kuangalia kikosi chenu A sita shangaa pia ukiandika kwamba mmepeleka kikosi D au yametumika majiniBaada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Haichezi sababu inaogopa aibu kama wanajiamini si wacheze tuwaone?mnacheza na vitimu vya daraja la pili sasa hiyo ni timu au?Umeshaiona Simba ikicheza ukajiridhisha kuwa kina mkude na Chama wataifunga?