Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Mikia mna moyo wa kujifariji hatariBaada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA