Wavaa vitenge mmeshamazaliza kucheza na wacheza Amapiano sasa hatutaki visingizio kuwa mlikuwa na uchovu wa preseason siku ya mechi ya ngao ya hisani

Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.

UBAYA UBWELA
Mikia mna moyo wa kujifariji hatari
 
Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.

UBAYA UBWELA
Hatugombei sahani ya ubwabwa, ila kwa matusi haya inabidi tufanye kweli ili heshima iendelee.
 
Trh 8/8 mkishakandwa na nyinyi mtasema mmeingiza kikosi C ntakutafuta hapahapa nikukande kwa madongo, andaeni kikosi chenu hatutaki visingizio baada ya mechi
Mnajiamini kupita kiasi.
 
Weka hapa kikosi cha kwanza halisi cha Kaizer Chiefs. Pengine mashabiki wa bongo wa Kaizer Chiefs wanaijua Kaizer Chiefs kuliko wenye Kaizer Chiefs yao kule Africa Kusini
Kikosi cha kwanza kilichoshika nafasi ya 10 msimu ulipopita?
 
Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.

UBAYA UBWELA
Mdomo wako utakuponza
 
Mnajiamini kupita kiasi.
Tutawapiga mpaka mkimbie uwanja umeona kilichowakuta Kaizer leo wamekimbia uwanja sasa nyinyi itakua ×3 ya hii na ole wenu mng'oe viti na muaribu miundombinu ya vyoo maana mkifungwa hamchelewi kwenda kunya ovyoovyo kwenye vyoo
 
Mimi simba ila sina imani ya hii timu kabisa,na kukabiliana na yanga wajipange sana
 
Tutawapiga mpaka mkimbie uwanja umeona kilichowakuta Kaizer leo wamekimbia uwanja sasa nyinyi itakua ×3 ya hii na ole wenu mng'oe viti na muaribu miundombinu ya vyoo maana mkifungwa hamchelewi kwenda kunya ovyoovyo kwenye vyoo
Umeshaiona Simba ikicheza ukajiridhisha kuwa kina mkude na Chama wataifunga?
 
Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.

UBAYA UBWELA
Na nyinyi huko misri mnacheza mechi kwa siri kisha mnatuma matoke kwa wana habari kwa sms
 
Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.

UBAYA UBWELA
Kwani nyie wavaa sanda mna timu au mnaleta mbwembwe humu ndani!
 
Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.

UBAYA UBWELA
Duu kikosi C? Nitaka palee kuangalia kikosi chenu A sita shangaa pia ukiandika kwamba mmepeleka kikosi D au yametumika majini
 
Back
Top Bottom