Wavaaji wa miwani ya macho ni wajuaji (much know)

Waangalia kwa dharau hivi anashusha miwani chini kidogo alafu anakuchungulia kwa machi ya nyama.

Btw: Si wote na dharau sidhani kama ina uhusiano na miwani. Kama ni hivyo kwenye maofisi watu wangekuwa wanadharauliana kila siku maana kuna wavaa miwani wengi. Hiyo ni perception tu, a mere subjective one
 
Tatizo la wabongo wamezoea porojo wakikutana na Watu wanaowataka watoe facts mnawaita wajuaji.

Mbongo anaweza akakuambia uchawi upo.
Alafu ukambishia ili akupe facts Kwa vile Hana uwezo wa kujenga hoja atakuita Mjuaji.

Hiyo pia inawakumba Wanawake wengi weñye Akili za kuhoji àmbapo wakikutana na Wanaume wengi wa kibongo Wazee wa ndîo Mzee. Huwaita Wadada hao wajuaji
 
Umeiweka vizuri sana mkuu.
 
Ndio ujuaji huo
 
Ndio ujuaji huo

Sasa ulitaka Mtu akukubalie unapoongea Vitu vya uongo visivyo na ukweli Wala mantiki?

Mfano, Mtu anakuambia Huko kigoma Mwanamke Kazaa Kuku alafu anaongea kama ni kweli Wakati siô kweli. Unamwambia Mtu hawezi kuzaa Kuku hizô ni drama na propaganda.
MTU anakuona Mjuaji. Wakati ni Jambo Dogo la Àkili ya kawaidà tuu
 
Back
Top Bottom