displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Ni mara kadhaa nakutana na nguo ikiwa na kidude chenye lebo au maandishi ya kumtaka mtumia nguo kukikata au kukiondoa kabla hajafua au kuivaa nguo hiyo.
Nauliza je kama pana mtu ameshakutana na kitu hicho na maana yake au kazi yane nini?! Ikitokea mtu kuvaa nguo bila kukiondoa ni madhara yapi utegemee?!
Mara nyingi kama kwenye t-shirt huwa upande wa mikoni suruari au sket huwa kweny maeneo ya kiuno.
Tufahamishane tujue ni kitu gani cha kazi gani na kwa nini huwekwa kwenye baadhi ya nguo.
Picha 1: Mwonekano wake kwa nje
Picha 2: Baada ya kukata kitambaa cha picha 1
Picha 3: baada ya kukipasua picha 2.
Baada ya kukipasua ndani kina kama vibati fulani hivi.
Nawasilisha.