Wavaaji wa nguo: Hiki kidude huwa ni kinini?

Wavaaji wa nguo: Hiki kidude huwa ni kinini?

Sina uhakika sana, ila nafikiri vinasaidia kwenye maduka ukiiba au kutoka na nguo bila idhini. Kinawezakuwa na vitu vinavyosaifia sensor zao.
Ukilipia counter kikishamulikwa hakitapiga kelele mlangoni unapotoka....(natania).

Ikumbukwe wenzetu mambo wanapeleka kidijitali zaidi na hiyo inawezatumika kama zile barcode kuscan kujua bei na kurahisisha kufanya stock kwa kuscan hicho kidude.

Wataalam watakuja kurekebisha na kutoa elim zaidi.
Ulichosema ni kweli mkuu
 
Ni mara kadhaa nakutana na nguo ikiwa na kidude chenye lebo au maandishi ya kumtaka mtumia nguo kukikata au kukiondoa kabla hajafua au kuivaa nguo hiyo.

Nauliza je kama pana mtu ameshakutana na kitu hicho na maana yake au kazi yane nini?! Ikitokea mtu kuvaa nguo bila kukiondoa ni madhara yapi utegemee?!

Mara nyingi kama kwenye t-shirt huwa upande wa mikoni suruari au sket huwa kweny maeneo ya kiuno.

Tufahamishane tujue ni kitu gani cha kazi gani na kwa nini huwekwa kwenye baadhi ya nguo.

Picha 1: Mwonekano wake kwa nje
Picha 2: Baada ya kukata kitambaa cha picha 1
Picha 3: baada ya kukipasua picha 2.

Baada ya kukipasua ndani kina kama vibati fulani hivi.

Nawasilisha.

View attachment 1509958View attachment 1509960View attachment 1509961View attachment 1509953View attachment 1509954View attachment 1509955View attachment 1509958View attachment 1509959View attachment 1509960View attachment 1509961
Kitakua sio kizur maan kuna warning hapo imeandikwa remove before wearing or washing nahis itakua kemikal
 
Sasa kama sijui kiinglish sio kosa langu jaman.
We kama unanipenda nipeleke kwa Ras Simba sio kunirudisha home.
Killing material[emoji23][emoji23] amna bana
Kama anakuzingua maviziaji tupo [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Hiyo inaitwa RFID chip-Redio Frequency Identification chip,ni kwaajili ya taarifa za hiyo nguo wakati wa malipo ikiwa dukani na hata usalama wake kwani ukitaka kuiba bila ya kulipia kuna sensors zinatoa taarifa au alarm...
Japo mm ni mgumu kuelewa Ila hapa umenishawishi nielewe [emoji23][emoji23]
 
Mimi ndo nimekiona majuzi, ni baada ya kuona huu uzi. [emoji1484]
IMG_7096.jpg
 
Japo mm ni mgumu kuelewa Ila hapa umenishawishi nielewe [emoji23][emoji23]
Hii nami nashawishika maana kama zile za kule ktika vitabu maktaba unakuta zina kitu kama hicho kwaajili ya kulinda vitabu dhidi ya wakora!!
 
Back
Top Bottom