Wavaaji wa nguo: Hiki kidude huwa ni kinini?

Wavaaji wa nguo: Hiki kidude huwa ni kinini?

No huwezi😀 nitajitahidi kubalance usiof. NikikuRIP mie si ntabaki mpweke. Akuu siwezi kukufanyia hvyo
Hata Adam alilaghaiwa hivi na eva.. inatosha usiendelee ntajua cha kufanya maana dawa ya Moto ni Moto..😅
 
Hiyo inaitwa RFID chip-Redio Frequency Identification chip,ni kwaajili ya taarifa za hiyo nguo wakati wa malipo ikiwa dukani na hata usalama wake kwani ukitaka kuiba bila ya kulipia kuna sensors zinatoa taarifa au alarm...
Ni kama kilankinachowekwa kwenye vitabu vya maktaba, ukupita nacho bila utaratibu waoumbuka kwa kelele za alarm.
 
Kwisha habari yako..😅

Mkiambiwa msome mnakimbilia kwenye mihogo..
Haya sasa bado utakuja utuvalie na nguo zilizoandikwa shake before use..😂
Eeh tikisa kabla ya kutumia tobaaa🤪🤣🙉🙉
 
Ambao hatuvai nguo tunakomenti wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni security tag, kama zilivyo hizi tag hapa chini.

images%20(1).jpg
 
1595480068754.png
1595480190008.png
Security Alarm System Clothes Sensor Custom Printed Sport Clothing Label - Buy Sport Clothing Label,Woven Clothing Labels,Labels For Clothing Product on Alibaba.com
kumbe ni security alarm katika Maduka ya kuuzia nguo. (km Barcode) ya bidhaa nyingine
I did a very quick search on Google and found that this is an anti-theft sensor that is sewn into the garment made to set off alarms when you walk through them (Askville by Amazon)
remove before washing or wearing: RFID tags and you
cc @displayname
 
Nilikua sikuwahi fikiria kuhusu hilo, ila nililibaini mwaka jana, nilipochunguza nikaona suruali zangu mbili za mtumba zilikua navyo na nilikua nimezivaa mda sana, nilivikata nikatupa ila sikujua n kitugani
 
Back
Top Bottom