Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Hahaaa kusoma kipaji banaKwisha habari yako..😅
Mkiambiwa msome mnakimbilia kwenye mihogo..
Haya sasa bado utakuja utuvalie na nguo zilizoandikwa shake before use..😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa kusoma kipaji banaKwisha habari yako..😅
Mkiambiwa msome mnakimbilia kwenye mihogo..
Haya sasa bado utakuja utuvalie na nguo zilizoandikwa shake before use..😂
Badae unakuta mtu anaumwa ugonjwa wa ngozi unajiuliza umetoka wp!?Haina makali kwa mvaa nguo?!
Na unakaribia kunishinda tabia ntakurudisha kwa kaka yako da vinci sindo alinikabidhi..!Hahaaa kusoma kipaji bana
Kanywe Ally-Kasusi urudishe nguvu kimekupunguza nguvu za kike.Mara 2... ila ni badae sana, nguo nilikua nishaifua na kuvaa. Sikuona madhara yoyote na sikukitoa
Ni zaidi ya mwaka hyo nguo moja, haijaniletea mapele.
Ila isijekua ndo lile tatizo la kusahau🤔
Sasa kama sijui kiinglish sio kosa langu jaman.Na unakaribia kunishinda tabia ntakurudisha kwa kaka yako da vinci sindo alinikabidhi..!
Haiwezekani kitu kiandikwe usivae kabla ya kukitoa we ndo kwanza unafua na kuvaa!..
Which is which.. is this a wife material or killing material..?😅😂
Inapatikana wapi hyo kitu niende saiviKanywe Ally-Kasusi urudishe nguvu kimekupunguza nguvu za kike.
Nikitoka hapo kwa ras simba utaniambia nikupeleke na hotel management maana si kwa bokoboko lile la juzi.. heri lawama kuliko fedhea..😂😂Sasa kama sijui kiinglish sio kosa langu jaman.
We kama unanipenda nipeleke kwa Ras Simba sio kunirudisha home.
Killing material😂😂 amna bana
A we mwanamke unataka kuni Nini..?Inapatikana wapi hyo kitu niende saivi
Thank you, kweli ingekua na madhara direct kwa ngozi ya binadamu wasingeweka hapo.Hofu ni kwamba ndani kuna kitu chenye kuweza kutoa rangi ikachafua au kutia madoa nguo wakati unaifua au hata ikagusa ngozi yako lakini vinakua imara unaweza kutumia isilete madhara ya moja kwa moja, vinginevyo watu wasingeruhusu hata kusijaribishia zikiwa na hicho kidude, hako ka kitambaa kenye maandishi ndio kanaficha kakipande wanakokatumia kwa sensor. Madhara sio kakitambaa kalikoandikwa remove before wearing or washing. Relax
Uko sahihi kabisaYawezekana hiyo ni sensor inayolinda nguo dhidi ya wezi kwenye supermarkets. Ukinunua kihalali wanascan hicho kisensor hata ukipita mlangoni haipigi alarm. Ila kama umechukua isivyo halali ukitoka nayo tu alarm zinalia.
Sahihi, ni kweli wala sio utani huwa vina trigger alarms in case mtu Ameiiba hiyo nguo na akajaribu kutoka nayo mlangoniSina uhakika sana, ila nafikiri vinasaidia kwenye maduka ukiiba au kutoka na nguo bila idhini. Kinawezakuwa na vitu vinavyosaifia sensor zao.
Ukilipia counter kikishamulikwa hakitapiga kelele mlangoni unapotoka....(natania).
Ikumbukwe wenzetu mambo wanapeleka kidijitali zaidi na hiyo inawezatumika kama zile barcode kuscan kujua bei na kurahisisha kufanya stock kwa kuscan hicho kidude.
Wataalam watakuja kurekebisha na kutoa elim zaidi.
Pls ingia ndani tuyamalize. Tusiwape faida majirani🙃Nikitoka hapo kwa ras simba utaniambia nikupeleke na hotel management maana si kwa bokoboko lile la juzi.. heri lawama kuliko fedhea..😂😂
Usije ukalia nakutania tu mu beibi..😜
Sikuachi ng'o ila punguza bokoboko..😂
Nimewah kuona video zile za vichekesho, mtu alificha nguo mlangoni alarm ikalia. Aibuuusahihi, ni kweli wala sio utani huwa vina trigger alarms in case mtu Ameiiba hiyo nguo na akajaribu kutoka nayo mlangoni
No huwezi😀 nitajitahidi kubalance usiof. NikikuRIP mie si ntabaki mpweke. Akuu siwezi kukufanyia hvyoA we mwanamke unataka kuni Nini..?
Hizo nguvu za kisukuma mama hazikutoshi bado unataka kuongeza si unataka niandikiwe RIP..😂
Sawa lkn hapo kwenye alkasusu mama ndoho gete.. Hilo buno la kisukuma huwa natamani hata kulia sasa uongeze na kasusu si itabidi tuweke chaga zachuma sasa.. nihurumie mama wa watu na Mimi ni binadamu na yale sio mashindano..😂😂Pls ingia ndani tuyamalize. Tusiwape faida majirani🙃
🤣🤣🤣 UtakomaSawa lkn hapo kwenye alkasusu mama ndoho gete.. Hilo buno la kisukuma huwa natamani hata kulia sasa uongeze na kasusu si itabidi tuweke chaga zachuma sasa.. nihurumie mama wa watu na Mimi ni binadamu na yale sio mashindano..😂😂