Usikata tamaa mkuu, ipo siku utaacha hutaamini! Nlikuwa mtumiaji mzuri sana wa sigara ..yaani kwa siku nlikuwa nikitumia pakt 1 ya embassy. Ila siku moja nikakata sharing nikwanini napata tabu haswa napokuwa ktk mikusanyiko ya watu nikaa nikarafakari nikajiwekea dhamira yakujaribu kuacha kwa miezi 6, baada yakupita hiko kipindi nlipokuja kujaribu tena mara kadhaa ilishindikana yani kifua kikawa kinanibana sana huo ndio uliokuwa mwisho wa kuvuta sigara huu nimwaka waKilevi kibaya sana hiki sijui nilidumbukiaje humu ila siku moja kwa uwezo wa Mungu nitaiacha.... Napenda kuvuta nikiwa melala au mekaa inanipa uvivu sana kiasi kwamba sitamani kufanya chochote baada ya kuvuta napenda kuvuta nikiwa mwenyewe
Mwaka wa 9 unaisha nanlikuwa nmeshatumia kipindi cha miaka ya nyuma takribani miaka 7Usikata tamaa mkuu,ipo siku utaacha hutaamini! Nlikuwa mtumiaji mzuri sana wa sigara ..yaani kwa siku nlikuwa nikitumia pakt 1 ya embassy. Ila siku moja nikakata sharing nikwann napata tabu haswa napokuwa ktk mikusanyiko ya watu .nikaa nikarafakari nikajiwekea dhamira yakujaribu kuacha kwa miezi 6, baada yakupita hiko kipindi nlipokuja kujaribu tena mara kadhaa ilishindikana yani kifua kikawa kinanibana sana .huo ndio uliokuwa mwisho wa kuvuta sigara huu nimwaka wa
napenda sana sigara kali napenda sana kuvuta sigara ukweni mbele ya baba mkweBinafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston, master, sm na hata za nje kama malboro lakini nimeasalia kwenye spoti na winston.
Sipendi sigara zenye harufu kali kama sm na nyota.
Mazingira nayopendelea kuvuta ni yale ambayo hayana watu wengi na kuna kivuli ama kaubaridi.
Napendelea kuvuta nikiwa nimesimama, sijui kwanini nikikaa hainipi burudani.
Nimejaribu kuacha kwa miezi kadhaa katika vipindi vinne tofauti lakini nilirudi.