Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Mimi huyo, ila sivuti zaidi ya 3 kwa siku, huwa nikitoka kazini kuna ka restaurant jirani huwa tuna enda kulipia chakula cha mchana, sasa tukiingia hapo haiishii kulipa Bill ya msosi tu, bali tunaendeleza na bia 2-3,hapo ndipo nilipoanzia, sasa hivi huwa naingia job na sm 2,navuta moja wakati nikiwasubiri staff waingie niwape muhtasari wa shughul za siku hiyo, baada ya lunch huwa nalazimika kuwahi workshop nipokee majumuisho ya kazi za nusu ya siku hapo navuta iliyo baki, jioni kwenye bia navuta moja, ila nipo ukingoni kuachana na ujinga huu, inshaallah, nitaweza kwa uwezo wa Mungu.Dah!! Kiukweli sijui nisemeje mimi napenda kuvuta kwa kujificha nikiwa mwenyewe ,hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta na naonekana ni mtu wa heshima sana sana hiyo tisa kumi nilikuja kugundua kumbe familia yote tunavuta ila kwa kujificha mnoo mzee siku moja akanichana live kaniletee sports kumbe anapiga ila nimejua hayo nna miaka 25 kipindi hiyo broh nae wale wale kwa kujificha dogo nae wale wale ila style ni ile ile na mimi hata makundi ya wavutaji huwezi kunikuta kabisaa ni one man alone kwenye huu upumbavu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app