Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Wazee wa ngisugi tuko hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]Zamani sigara zilikuwa zinavutwa na wazee wa kishua tu sahv hadi madogo wanavuta. SM ni sigara pendwa hasa ukiwa umelewa aisee ukipuliza unatoa moshi kama exost ya pikipik full burudani jamen
ni kweli pesa ninazo kama zote mpaka naona uvivu kuzitumiaUtakuwa na hela sana mkuu
Nigei mchongo basi... Namimi nizipateni kweli pesa ninazo kama zote mpaka naona uvivu kuzitumia
Upo kama mimi, nikiwepo home huwa naenda chimbo langu ni mwendo wa dakika 12 hivi, hako kachimbo kametulia sana kapo karibu na msitu, hakuna anaenijua wala jirani anapita huko.Dah!! Kiukweli sijui nisemeje mimi napenda kuvuta kwa kujificha nikiwa mwenyewe ,hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta na naonekana ni mtu wa heshima sana sana hiyo tisa kumi nilikuja kugundua kumbe familia yote tunavuta ila kwa kujificha mnoo mzee siku moja akanichana live kaniletee sports kumbe anapiga ila nimejua hayo nna miaka 25 kipindi hiyo broh nae wale wale kwa kujificha dogo nae wale wale ila style ni ile ile na mimi hata makundi ya wavutaji huwezi kunikuta kabisaa ni one man alone kwenye huu upumbavu
Umenikumbusha kitu wakati fulani kipindi cha ramadhani mefika DSM kwenye harakati za maisha nikafikia logde flani ipo manzese jirani na nefaland nilikuwa mechukua msosi wakawa wamenifungia ktk foili halafu wakatia ktk bahasha za karatasi...Hii kitu iliwai nipelesha ,nikaota moto chaga za kitanda
Niliwahi kuacha kipisi cha sigara niliyovuta kwenye shati la mfuko 😂😂 aisee nlijifunza kwamba kipisi huwa kinanuka sanaUmenikumbusha kitu wakati fulani kipindi cha ramadhani mefika DSM kwenye harakati za maisha nikafikia logde flani ipo manzese jirani na nefaland nilikuwa mechukua msosi wakawa wamenifungia ktk foili halafu wakatia ktk bahasha za karatasi...
Nikagonga diko kama kawaida napenda kuvuta nikiwa melala au mekaa metulia mwenyewe hivyo nikazima taa nikapanda bed nikasogeza dustbin ambayo nilishatupia ile bahasha ya karatasi nikawasha fegi mwisho nikatupa kipisi ktk dustbin nikavuta shuka nilale aiseee nikawa napata hewa nzito na harufu flani hivi nikawa najisemea moyoni hao ni waislamu wanachoma ubani nilipozidiwa nikaamua kufunua shuka nikawasha taa chumba kizima kimejaa moshi hewa nzito kumbe ile karatasi ilikuwa ikiungua bhana mewasha feni hamna afadhali nafungua madirisha hamna kitu nikafungua mlango moshi ukawa unatoka kama wa tanuru hahahaha mtu mmoja alikuwa anapita akaenda kumuambia muhudumu....
Dah nilifatwa kisoo soo ila Mungu mkubwa liliisha na kule chumbani sikuweza kuendelea kulala nikaenda kutulia nje kwanza nikichoma fegi siku hiyo nilitamani niachane nazo kbs lakn ile tabia ya kusema navuta Leo tu kesho naacha rasmi ikaniponza....
michongo yang me haramu utaiweza SheikhNigei mchongo basi... Namm nizipate
Hakunaga hela haramumichongo yang me haramu utaiweza Sheikh
nakupa home work nataka mguu wa kulia wa Mshana Jr ukiniletea umepata kaziHakunaga hela haramu
Nimeloa na manyunyu ya mvua nikavuta SM,kufika home mama ananiuliza kwangu unavuta?daah niliishiwa pozi.,hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta [emoji23][emoji23] nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi.
Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston, master, sm na hata za nje kama malboro lakini nimeasalia kwenye spoti na winston.
Sipendi sigara zenye harufu kali kama sm na nyota.
Mazingira nayopendelea kuvuta ni yale ambayo hayana watu wengi na kuna kivuli ama kaubaridi.
Napendelea kuvuta nikiwa nimesimama, sijui kwanini nikikaa hainipi burudani.
Nimejaribu kuacha kwa miezi kadhaa katika vipindi vinne tofauti lakini nilirudi.
Sport ndio sigara yangu
pendwa ila napenda nivute nikiwa nimeelewa ...napata mzuka Sana niki piga sport yangu
hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi.
Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston, master, sm na hata za nje kama malboro lakini nimesalia kwenye spoti na winston.
Sipendi sigara zenye harufu kali kama sm na nyota.
Napendelea kuvuta nikiwa nimesimama, sijui kwanini nikikaa hainipi burudani.
hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi.
Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston, master, sm na hata za nje kama malboro lakini nimesalia kwenye spoti na winston.
Sipendi sigara zenye harufu kali kama sm na nyota.
Napendelea kuvuta nikiwa nimesimama, sijui kwanini nikikaa hainipi burudani.
Kuna siku ile tu nawasha sigara akalita jamaa kwenye gari lipo kwenye foleni akaigongea.wavuta sigara tunapendana sana kwenye ishu za sigara,
binafsi sijawai kugongea lakini mtu akiniomba huwa navuta kama 60% namwachia iliyobaki