Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

Wavuta sigara wakiwa wanakunywa pombe na mezani kuna pakiti za sigara huwa wanajiona maisha wameyaweza wanajihis kama wapo dunia ya kwanza hiv,wanajiona kama ni macow boy vile

Sigara ni mapepo
 
Chama la Wana

Nikiwa vizuri mfuko ama nikiwa na kampan ni mwendo wa Ubarozi..(EMBASSY)

Nikiwa normal...nakula sports!!!!

Na nikiwa kawaida ni mwendo wa Whinstone......naipenda sana hii fleva..

Afu mnajua Kama majiran na ndugu wengi tu hawajui Kama mi ni smoka!!! Yaan niljarib bange almost 2 year ikanishinda nimebak humu...

N.B
Sigara ni hatar kwa afya yako kwa maelezo zaid endelea kuvuta:
IMG_20221105_075043_639.jpg
 
Nimesoma hapo juu comments za watu nikajua kweli ndio maana maandiko yanasema "mtiini Mungu mpingeni shetani naye atawakimbia",sasa faida ya kuvuta huku unajificha iko wapi,inakuwa kama vile unavuta bangi ambayo baadhi ya serikali haziruhusu,can you imagine mtu anaenda kuvutia sigara kwenye machaka huko,Mungu atusamehe kwa kweli...
 
Wavuta sigara huwa mna vituko mwingine atakwambia hawezi kunya mpaka avute, akingia chooni anaingia na sigara.
 
Nataka nianze pia,embu nielekezeni mlianzajeanzaje au kama tu nilivyoanza kubanduliwa K?
 
Back
Top Bottom