mkubwa
Member
- Jul 15, 2014
- 93
- 78
Hii kitu iliwai nipelesha ,nikaota moto chaga za kitanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu iliwai nipelesha ,nikaota moto chaga za kitanda
Nakazia ✍️✍️Kokote Duniani utafiti umekuja na majibu yale yale kwamba watu wanaovuta sigara wana akili ndogo sana kulinganisha na wasiovuta.
Wavuta sigara ni kama mabata, bata akijisikia kunya hata kwenye sufuria ya ugali anakuja, hajali kitu. Mvuta sigara hivyo hivyo, akishikwa na kiu mahala popote anawasha sigara bila kujali kuna watoto ama watu wengine.
![]()
Are non-smokers smarter than smokers?
Cigarette smokers have lower IQs than non-smokers, and the more a person smokes, the lower their IQ, a study in over 20,000 Israeli military recruits suggests.www.reuters.com
Na usijaribu hata kumwashia mtu mkuu.Nakwepa sana sigara staman kuitumia
Mimi kwenye Marlboro na Carmel unitoiBinafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston, master, sm na hata za nje kama malboro lakini nimeasalia kwenye spoti na winston.
Sipendi sigara zenye harufu kali kama sm na nyota.
Mazingira nayopendelea kuvuta ni yale ambayo hayana watu wengi na kuna kivuli ama kaubaridi.
Napendelea kuvuta nikiwa nimesimama, sijui kwanini nikikaa hainipi burudani.
Nimejaribu kuacha kwa miezi kadhaa katika vipindi vinne tofauti lakini nilirudi.
Hahahahahahahah daaaaah umenikumbusha mbali eti mneliMi nataka nianze kuvuta mneli.
Starehe ambayo nimefanikiwa kuiepuka hadi Sasa umri huu wa miaka 30 na kitu.
Nataka nijaribu kijiti nione ladha Yake. [emoji1787]
sigara ina arosto mbaya sanaBinafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston, master, sm na hata za nje kama malboro lakini nimeasalia kwenye spoti na winston.
Sipendi sigara zenye harufu kali kama sm na nyota.
Mazingira nayopendelea kuvuta ni yale ambayo hayana watu wengi na kuna kivuli ama kaubaridi.
Napendelea kuvuta nikiwa nimesimama, sijui kwanini nikikaa hainipi burudani.
Nimejaribu kuacha kwa miezi kadhaa katika vipindi vinne tofauti lakini nilirudi.
tulia we dadaHuyu jamaa mwenye avatar ya gunia la mkaa afute, limekaa kama uboow
Utakuwa na hela sana mkuunapenda sana sigara kali napenda sana kuvuta sigara ukweni mbele ya baba mkwe
Mkuu tumeambia kupikia kuni ni hatari zaidiONYO, UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO.
AminaUsikata tamaa mkuu,ipo siku utaacha hutaamini! Nlikuwa mtumiaji mzuri sana wa sigara ..yaani kwa siku nlikuwa nikitumia pakt 1 ya embassy. Ila siku moja nikakata sharing nikwann napata tabu haswa napokuwa ktk mikusanyiko ya watu .nikaa nikarafakari nikajiwekea dhamira yakujaribu kuacha kwa miezi 6, baada yakupita hiko kipindi nlipokuja kujaribu tena mara kadhaa ilishindikana yani kifua kikawa kinanibana sana .huo ndio uliokuwa mwisho wa kuvuta sigara huu nimwaka wa