Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

Mimi huyo, ila sivuti zaidi ya 3 kwa siku, huwa nikitoka kazini kuna ka restaurant jirani huwa tuna enda kulipia chakula cha mchana, sasa tukiingia hapo haiishii kulipa Bill ya msosi tu, bali tunaendeleza na bia 2-3,hapo ndipo nilipoanzia, sasa hivi huwa naingia job na sm 2,navuta moja wakati nikiwasubiri staff waingie niwape muhtasari wa shughul za siku hiyo, baada ya lunch huwa nalazimika kuwahi workshop nipokee majumuisho ya kazi za nusu ya siku hapo navuta iliyo baki, jioni kwenye bia navuta moja, ila nipo ukingoni kuachana na ujinga huu, inshaallah, nitaweza kwa uwezo wa Mungu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tafuta business Royal Kisha ulete mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…