Wavutaji wote hapa

Wavutaji wote hapa

Duh usipolala inakuwaje
[emoji23][emoji23] Nilikuwa nikilivuta nakua kama mepigwa ganzi, mpaka nikalale kama nusu saa ndo nikae fresh nikaona starehe gani hizi!.. Tutakuja uana tu!
 
Hivi wazee mnajua ile THC iliyo ndani ya mmea ni fat-soluble? Kwo ukichemsha mmea ndani ya kitu kama maziwa ile THC inajaa huko afu unakunywa hiyo chai...
Babaa, utakuwa high siku 3 na kuendelea..

Hii ni kwa ambao hatuvuti anymore ila bado tunapenda ile ecstacy ya marijuana.
Legalize it!
 
ebhana ee nitajaribu hii kwa maziwa
 
Huu uzi utafungiwa
Ila hii kitu ukiweka kwa chai, majani ikiwa mbichi bado, iko very smart. For the brain
kumbe mbichi ndio mzuka,mi nlijaribu kavu kwa maji moto yan kama majani,inatwa ganja tea
 
Sasa mleta Uzi ungeanza na kutoa stori/kisa chako juu ya 'herbs' au 'dawa' ama 'cha Arusha'...ganja..kijiti..au Bob Marley[emoji108]

tiririka wana wapandishe mzuka wa story...nje ya hapa unakata 'stimu' machalii

halafu bei ya 'Bangili' inapanda daily kwa pusha...siku hizi inalipiwa kodi.!?
live sema jf huwez kuedit post mkuu,mzee yani siku ya kwanz kula hii kitu ilikua pindi nipo form3,kuna masela wangu walikua wanachepuka breaktime wanaenda kupata kitu,siku kushtuka nami nikasema naenda nanyie leo,nikaomba nitest......balaaa niliporudi class kuna manzi nilikua namzia asa nina maibu kinoma,basi kuingia class tu nikamfata dadeki nikaanza kumchana palepale mbele ya wenzie hahahahah dah hii kitu inakupa confidence sio kawaida.inshort manzi mwenyewe hakuamini,watu walikua wanashangilia tu na vicheko.dadeki demu alinikubali sikuamini.kwanzia hapo nikawa na misimamo sio kitoto
 
Ndani ya msitu mnene,nachambua nanyonga kisha navuta

Ganja nanyonga mwenyewe simuamini pusha,asije nipa famba akaniambia cha arusha

Ganja navuta,pamba nanyuka,kwanja naruka,sio mpk niombe kwanza ruksa

Tutembezeani kijiti wakuu
Umenikumbusha matawi ya juu.. RIP Langa kileo
 
Ndani ya msitu mnene,nachambua nanyonga kisha navuta

Ganja nanyonga mwenyewe simuamini pusha,asije nipa famba akaniambia cha arusha

Ganja navuta,pamba nanyuka,kwanja naruka,sio mpk niombe kwanza ruksa

Tutembezeani kijiti wakuu
oi oi moto mwanangu
 
Back
Top Bottom