Wavuti ya Bunge inaonesha Ndejembi anasoma masters tokea 2021

Koffi Annan

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
2,637
Reaction score
8,057
Naona mfuniko umechagua pipa, hizi nazo ni elimu mbalimbali
1000258220.jpg
1000258224.jpg
 
CCM kimeachana na siasa! Sasa kinatumia shortcuts kutawala.
Huu utaratibu wa kutumia nguvu, ubabe, vitisho na njia za mkato ulianza tangu wakati wa mkutano wao wa mwaka jana, ambao katika hali isiyo ya kawaida ulimtangaza Rais wa mpito wa wakati huo kuwa mgombea wa kiti cha urais kinyume kabisa na utaratibu wa chama.

Kinachofanyika kwa sasa ni muendelezo tu.
 
Tungekua na bunge lenye watu at least wangekua wanatumia akili maana kule wanategemea kura
Ila sio kwa bunge hili ambalo wabunge hawajui kwamba kazi yao ni kuwawakilisha wananchi
 
Back
Top Bottom