Wavuti ya Bunge inaonesha Ndejembi anasoma masters tokea 2021

kwanini kasoma secondary school nyingi?, nielekezeni taratibu mi bado mgeni
Ana elimu ya kuungaunga ya hapa na pale kama bosi wake huyu pia alishawahi kukopa access bank na ku default mkopo hadi akatangazwa na bank ya access kwenye gazette kama loan defaulted, eti ndio amependekezwa kuwa makamu wa rais kweli kwa sasa kitu kinachoitwa vetting hakifanyi kazi ioasavyo
 
Boss wake mwenyewe ukiuliza kasomea nini,utaambiwa kasomea mambo mbalimbali huko Pakistani..
 
Ana elimu ya kuungaunga ya hapa na pale kama bosi wake huyu pia alishawahi kukopa access bank na ku default mkopo hadi akatangazwa na bank ya access kwenye gazette kama loan defaulted, eti ndio amependekezwa kuwa makamu wa rais kweli kwa sasa kitu kinachoitwa vetting hakifanyi kazi ioasavyo
Hivi ule mkopo aliulipa?
 
Mbona sasa mnalia??

Then lieni basi kwa sauti mbona mnalia kwa kwikwi??

Viboko ndiyo kwanza vinaanzaaa
Usikute huyu kilaza mwenye mwili mkubwa, akili kisoda naye eti ni mshauri wake! Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom