Wavuti ya Bunge inaonesha Ndejembi anasoma masters tokea 2021

Mambo ya maelimu mbalimambali....
Rais elimu mbalimbalii
Makam wake elimu mbalimbalii
N/Elim nae ana Elim mbalimbalii iliwemo ya upishi 😂😂. Nchi imekuwa kikundi cha kina Chaba wachekeshaji
 
Huu utaratibu wa kutumia nguvu, ubabe, vitisho na njia za mkato ulianza tangu wakati wa mkutano wao wa mwaka jana, ambao katika hali isiyo ya kawaida ulimtangaza Rais wa mpito wa wakati huo kuwa mgombea wa kiti cha urais kinyume kabisa na utaratibu wa chama.

Kinachofanyika kwa sasa ni muendelezo tu.
Rais wa mpito!?..bro tumia fuvu lako vizuri
 
Mambo ya maelimu mbalimambali....
Rais elimu mbalimbalii
Makam wake elimu mbalimbalii
N/Elim nae ana Elim mbalimbalii iliwemo ya upishi 😂😂. Nchi imekuwa kikundi cha kina Chaba wachekeshaji
Rais na makamu unawapata kielimu?
 
Bado yuko mbali sana kulinganisha na makamu wenu na elimu yake ya kuungaunga

1787779065189.png
 
Huu utaratibu wa kutumia nguvu, ubabe, vitisho na njia za mkato ulianza tangu wakati wa mkutano wao wa mwaka jana, ambao katika hali isiyo ya kawaida ulimtangaza Rais wa mpito wa wakati huo kuwa mgombea wa kiti cha urais kinyume kabisa na utaratibu wa chama.

Kinachofanyika kwa sasa ni muendelezo tu.

Mbona sasa mnalia??

Then lieni basi kwa sauti mbona mnalia kwa kwikwi??

Viboko ndiyo kwanza vinaanzaaa
 
Yaani nikiangalia Elimu za wabunge wengi na mawaziri, hawanifikii mie hata kidogo, tena kwa taaluma yangu ndo kabisaa wanaacha ndala.
Lol 😂😂😂
 
Mambo ya maelimu mbalimambali....
Rais elimu mbalimbalii
Makam wake elimu mbalimbalii
N/Elim nae ana Elim mbalimbalii iliwemo ya upishi 😂😂. Nchi imekuwa kikundi cha kina Chaba wachekeshaji

Nimecheka hadi machozi, 😂😂😂
Kwani course ya Elimu mbali mbali inatolewa chuo gani?
 
Back
Top Bottom