Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
Kaka uko chap kama nyukiš¤Naona mfuniko umechagua pipa, hizi nazo ni elimu mbalimbali
View attachment 3657643
Huu utaratibu wa kutumia nguvu, ubabe, vitisho na njia za mkato ulianza tangu wakati wa mkutano wao wa mwaka jana, ambao katika hali isiyo ya kawaida ulimtangaza Rais wa mpito wa wakati huo kuwa mgombea wa kiti cha urais kinyume kabisa na utaratibu wa chama.CCM kimeachana na siasa! Sasa kinatumia shortcuts kutawala.
Hmmā¦ā¦hivyo vyuo mbona ni kama diploma mills š¤ā¦..Naona mfuniko umechagua pipa, hizi nazo ni elimu mbalimbali
View attachment 3657643View attachment 3657648
Viwango vimeshuka sana kwa kweli.CCM kimeachana na siasa! Sasa kinatumia shortcuts kutawala.
Hamna shida. Maana boss wake amesoma elimu ya mambo mbalimbali sijui ndo kituganiNaona mfuniko umechagua pipa, hizi nazo ni elimu mbalimbali
View attachment 3657643View attachment 3657648
Tungekua na bunge lenye watu at least wangekua wanatumia akili maana kule wanategemea kuraHuu utaratibu wa kutumia nguvu, ubabe, vitisho na njia za mkato ulianza tangu wakati wa mkutano wao wa mwaka jana, ambao katika hali isiyo ya kawaida ulimtangaza Rais wa mpito wa wakati huo kuwa mgombea wa kiti cha urais kinyume kabisa na utaratibu wa chama.
Kinachofanyika kwa sasa ni muendelezo tu.
TIGO=ROSTAM AZIZAMEFANYA KAZI TIGO,GSM ENDELEAAAAAA
GSM=MSOGATIGO=ROSTAM AZIZ
Watu wenye elimu za HAPA NA PAKE, wamekutanaNaona mfuniko umechagua pipa, hizi nazo ni elimu mbalimbali
View attachment 3657643View attachment 3657648
Itakuwa mambo ya kutafuta D mbiliš¤£kwanini kasoma secondary school nyingi?, nielekezeni taratibu mi bado mgeni