MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hatuwezi kuja kuendelea kamwe kama Watawala hawana professional experience na haya ndio yamesababisha UVCCM hawana uwezo wa kujenga HojaNaona mfuniko umechagua pipa, hizi nazo ni elimu mbalimbali
View attachment 3657643View attachment 3657648
Inaonekana alihama mana zote kasoma miaka miwili miwilikwanini kasoma secondary school nyingi?, nielekezeni taratibu mi bado mgeni
Rais wa mpito!?..bro tumia fuvu lako vizuriHuu utaratibu wa kutumia nguvu, ubabe, vitisho na njia za mkato ulianza tangu wakati wa mkutano wao wa mwaka jana, ambao katika hali isiyo ya kawaida ulimtangaza Rais wa mpito wa wakati huo kuwa mgombea wa kiti cha urais kinyume kabisa na utaratibu wa chama.
Kinachofanyika kwa sasa ni muendelezo tu.
Rais na makamu unawapata kielimu?Mambo ya maelimu mbalimambali....
Rais elimu mbalimbalii
Makam wake elimu mbalimbalii
N/Elim nae ana Elim mbalimbalii iliwemo ya upishi ππ. Nchi imekuwa kikundi cha kina Chaba wachekeshaji
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Naona mfuniko umechagua pipa, hizi nazo ni elimu mbalimbali
View attachment 3657643View attachment 3657648
Ni diploma millsHmmβ¦β¦hivyo vyuo mbona ni kama diploma mills π€β¦..
Hiyo Cumbria ni online. Hiyo Lincoln ni ya hapo Bongo imepewa jina LA Kizungu ionekane.... Haya, Bora elimu x3!Naona mfuniko umechagua pipa, hizi nazo ni elimu mbalimbali
View attachment 3657643View attachment 3657648
Aiseeβ¦.Hiyo Cumbria ni online. Hiyo Lincoln ni ya hapo Bongo imepewa jina LA Kizungu ionekane.... Haya, Bora elimu x3!
Huu utaratibu wa kutumia nguvu, ubabe, vitisho na njia za mkato ulianza tangu wakati wa mkutano wao wa mwaka jana, ambao katika hali isiyo ya kawaida ulimtangaza Rais wa mpito wa wakati huo kuwa mgombea wa kiti cha urais kinyume kabisa na utaratibu wa chama.
Kinachofanyika kwa sasa ni muendelezo tu.
Hmmβ¦β¦hivyo vyuo mbona ni kama diploma mills π€β¦..
Itakuwa mambo ya kutafuta D mbiliπ€£
Unga unga mwana elimu yake huyu diploma kibao vyuo mbalimbali
Huyu shule alisoma sio wa elimu mbalimbali
Mambo ya maelimu mbalimambali....
Rais elimu mbalimbalii
Makam wake elimu mbalimbalii
N/Elim nae ana Elim mbalimbalii iliwemo ya upishi ππ. Nchi imekuwa kikundi cha kina Chaba wachekeshaji