Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona wabongo mmejaa china mnazugazuga tuHao unaowalalamikia ni kama hawajali na kwa vile kuna kautamaduni ka kila mtu kumind his/her own business mambo kama haya yataendelea kujitokeza na kukomaa. Hebu wewe Mbongo nenda kafanye haya kwa nchi za wenzetu !!!
Huyo aliamua tu kufanya hivo hiyo ni site wachina wanafanya hapo , kijana muha toka kigoma alimwachia atrend...ni kujichanganya tu mkuu
Waafrika tuna akili za kipumbavu na kupenda kulalamika.Hao unaowalalamikia ni kama hawajali na kwa vile kuna kautamaduni ka kila mtu kumind his/her own business mambo kama haya yataendelea kujitokeza na kukomaa. Hebu wewe Mbongo nenda kafanye haya kwa nchi za wenzetu !!!
Huyu mchina anafanya utafiti wa lugha ya kiswahili! Na hapo yupo kipindi cha vitendo.Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146
Baaada ya mwaka anafungua kiwandaSijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146
Watu wa aina hii waondolewe nchini; tunao machina wa kutosha kufanya kazi hizi. Wakitaka waishi nchini ni lazima wawe na ujuzi ambao nyongeza kwa jamii, siyo kubanana kwenye ujuzi wa machinga wetu.Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146
Huyu amekuja juzi ametangulia kaka yake ndiye mwekezaji bandari ya BagamoyoYaani mchina ameiona fursa ya kuuza madafu Tanzania wakati kuna vijana wa KiTanzania kibao wamekaa wanalalamika Tz hakuna fursa za kutoboa…….,,,,,!
Ndio tatizo la kuingiza raia wa nje bila kufuata taratibu. Si wanasema wawekezaji waingize raia zaidi ya 8/10 bila elimu/ujuzi wowote. Aibu!Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146
Weka ushahidi mkuu wacha porojo.Achen kulialia mkuu. Mbona china wapo mpaka mamantilie wa kibongo wznapika ugali na hakuna anaewabuguzi. Tusipende kubebwa kila kitu. Kama imeonekana ni fursa na znaona anaweza fanya mwache huenda kuna mbongo ataiga. Hii tabia yako wanayo wabongo wengi. Utakuta watu wako huko mikoani. Mashamba yapo makubwa tu wameacha yamekuwa pori. Ukigusa tu wanaanza kulalama mashamba yetu mashamba yetu. Tuache tabia ya kulia lia. Tupambane dunia ishakuwa kijiji.
Comedy kaamua kutrendNdio tatizo la kuingiza raia wa nje bila kufuata taratibu. Si wanasema wawekezaji waingize raia zaidi ya 8/10 bila elimu/ujuzi wowote. Aibu!
Ushahid wa nini sasa. Uliza hapa watu wote wanaoenda Guanzhou kama hawatakuambia ugali wanaupata wap kama sio Tieshou kwa wadada wa kibongo tena wanapika local way kuliko hawa wamama ntilie wetu huku. Usikariri maisha chief. Pambana dunia ishakuwa kijiji mkuu. We hujawah kuona pale kijiji ulipozaliwa anakuja mtu kutoka mkoa mwingine analima anatoka na nyie mko hapo miaka yote na mnalima lakin hamtoki. Usililie kubebwa ingia front jifunze kwa huyo unaempinga japo upate kujua huyu inawezekana vip atoke china nauli milion 3.5 aje kuuza madafu? Utajikuta unagundua zaid ya hayo madafu.Weka ushahidi mkuu wacha porojo.
Alafu wabongo ukiwambia wauze madafu wanaona nomaNgozi nyeupe ni nyeupe tu. Jamaa anazingatia usafi hygiene. Yuko msafi kabisa. Ebu mfananishe na mmatumbi anayeuza madafu.
Tumekuwa watu wa kulialia,lalamika tuAchen kulialia mkuu. Mbona china wapo mpaka mamantilie wa kibongo wznapika ugali na hakuna anaewabuguzi. Tusipende kubebwa kila kitu. Kama imeonekana ni fursa na znaona anaweza fanya mwache huenda kuna mbongo ataiga. Hii tabia yako wanayo wabongo wengi. Utakuta watu wako huko mikoani. Mashamba yapo makubwa tu wameacha yamekuwa pori. Ukigusa tu wanaanza kulalama mashamba yetu mashamba yetu. Tuache tabia ya kulia lia. Tupambane dunia ishakuwa kijiji.
Vijana wa tz wanawaza simba na yanga na connection za video za ngonoYaani mchina ameiona fursa ya kuuza madafu Tanzania wakati kuna vijana wa KiTanzania kibao wamekaa wanalalamika Tz hakuna fursa za kutoboa…….,,,,,!
Hata watanzania tumejaa kwao tukifanya mambo ya chini kama hayo hivyo huyo mchina siyo fisadi wawekezaji mafisadi ndiyo wabaya kama wa mradi bagamojo sema waje na dada zao ili tuwazalishe na sisi tuonje wachinaSijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146