Wawekezaji Toka China

Wawekezaji Toka China

Hao unaowalalamikia ni kama hawajali na kwa vile kuna kautamaduni ka kila mtu kumind his/her own business mambo kama haya yataendelea kujitokeza na kukomaa. Hebu wewe Mbongo nenda kafanye haya kwa nchi za wenzetu !!!
 
mbona wabongo mmejaa china mnazugazuga tu
tembea uone dunia....
 
Huyo aliamua tu kufanya hivo hiyo ni site wachina wanafanya hapo , kijana muha toka kigoma alimwachia atrend...ni kujichanganya tu mkuu
thinkstupid.png
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hao unaowalalamikia ni kama hawajali na kwa vile kuna kautamaduni ka kila mtu kumind his/her own business mambo kama haya yataendelea kujitokeza na kukomaa. Hebu wewe Mbongo nenda kafanye haya kwa nchi za wenzetu !!!
Waafrika tuna akili za kipumbavu na kupenda kulalamika.
Kwahiyo selikari imekukataza kuuza hayo madafu alafu ikamruhusu mchina sio?
 
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
Huyu mchina anafanya utafiti wa lugha ya kiswahili! Na hapo yupo kipindi cha vitendo.
Msiwe na fikra hasi muda wote.
 
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
Baaada ya mwaka anafungua kiwanda
 
Watu wa aina hii waondolewe nchini; tunao machina wa kutosha kufanya kazi hizi. Wakitaka waishi nchini ni lazima wawe na ujuzi ambao nyongeza kwa jamii, siyo kubanana kwenye ujuzi wa machinga wetu.
 
Vijana mnakimbilia Ulaya kuoa vibibi na kubeba box Ila wenzenu wakija nchini wakiona fursa mnaanza wivu. Mwafrika bana anataka aandaliwe kila kitu.

Tunayaacha mapori tunakimbilia sehemu walinisafisha halafu wenzetu wakija wakisafisha mapori na kutumia hayo maeneo kimaendeleo tunaanza wivu.

Hata hizi dhahabu, makaa ya mawe, almasi nk tulikuwa tunachezea mdako na bao wakaja wazungu wakazichua tukaanza kulalamika tu wakituachia kuchimba hatuwezi.

Fursa huwa zinatafutwa tutangaze mali tulizonazo wake kununua tusisubiri watuambie hiki kinahitajika ndio tuanze kulalamika tumeibiwa.
 
Anasoma mazingira tu.

Ana malengo yake.

1. Kabla hajaja kahakikisha anafahamu kiswahili.

Kajipanga haswa.
 
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
Ndio tatizo la kuingiza raia wa nje bila kufuata taratibu. Si wanasema wawekezaji waingize raia zaidi ya 8/10 bila elimu/ujuzi wowote. Aibu!
 
Achen kulialia mkuu. Mbona china wapo mpaka mamantilie wa kibongo wznapika ugali na hakuna anaewabuguzi. Tusipende kubebwa kila kitu. Kama imeonekana ni fursa na znaona anaweza fanya mwache huenda kuna mbongo ataiga. Hii tabia yako wanayo wabongo wengi. Utakuta watu wako huko mikoani. Mashamba yapo makubwa tu wameacha yamekuwa pori. Ukigusa tu wanaanza kulalama mashamba yetu mashamba yetu. Tuache tabia ya kulia lia. Tupambane dunia ishakuwa kijiji.
Weka ushahidi mkuu wacha porojo.
 
Huyo comedian wa kampuni ya ujenzi wa barabara.
Yaani wachina wenzake wasimpe kazi hadi auze madafu?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Weka ushahidi mkuu wacha porojo.
Ushahid wa nini sasa. Uliza hapa watu wote wanaoenda Guanzhou kama hawatakuambia ugali wanaupata wap kama sio Tieshou kwa wadada wa kibongo tena wanapika local way kuliko hawa wamama ntilie wetu huku. Usikariri maisha chief. Pambana dunia ishakuwa kijiji mkuu. We hujawah kuona pale kijiji ulipozaliwa anakuja mtu kutoka mkoa mwingine analima anatoka na nyie mko hapo miaka yote na mnalima lakin hamtoki. Usililie kubebwa ingia front jifunze kwa huyo unaempinga japo upate kujua huyu inawezekana vip atoke china nauli milion 3.5 aje kuuza madafu? Utajikuta unagundua zaid ya hayo madafu.
 
Ngozi nyeupe ni nyeupe tu. Jamaa anazingatia usafi hygiene. Yuko msafi kabisa. Ebu mfananishe na mmatumbi anayeuza madafu.
Alafu wabongo ukiwambia wauze madafu wanaona noma
Kwani wamekatazwa kufanya hiyo biashara
Inabidi sasa tupunguze malalamiko

Ova
 
Achen kulialia mkuu. Mbona china wapo mpaka mamantilie wa kibongo wznapika ugali na hakuna anaewabuguzi. Tusipende kubebwa kila kitu. Kama imeonekana ni fursa na znaona anaweza fanya mwache huenda kuna mbongo ataiga. Hii tabia yako wanayo wabongo wengi. Utakuta watu wako huko mikoani. Mashamba yapo makubwa tu wameacha yamekuwa pori. Ukigusa tu wanaanza kulalama mashamba yetu mashamba yetu. Tuache tabia ya kulia lia. Tupambane dunia ishakuwa kijiji.
Tumekuwa watu wa kulialia,lalamika tu
Kwani wao wamekatzwa kuuza madafu

Ova
 
Yaani mchina ameiona fursa ya kuuza madafu Tanzania wakati kuna vijana wa KiTanzania kibao wamekaa wanalalamika Tz hakuna fursa za kutoboa…….,,,,,!
Vijana wa tz wanawaza simba na yanga na connection za video za ngono
 
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
Hata watanzania tumejaa kwao tukifanya mambo ya chini kama hayo hivyo huyo mchina siyo fisadi wawekezaji mafisadi ndiyo wabaya kama wa mradi bagamojo sema waje na dada zao ili tuwazalishe na sisi tuonje wachina
 
Back
Top Bottom