Wawekezaji wengi hasa kutoka nje wananyanyasa wazawa Tanzania

Wawekezaji wengi hasa kutoka nje wananyanyasa wazawa Tanzania

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Salama.

Wawekezaji wengi hasa kutoka bala la Asia hawa wachina ,wakorea ,Mahindi ni watu ambao wanawanyanyasa sana wazawa kwenye maeneo waliyowaajili.

Hawa watu ni hawazingatii kabisa sheria za kazi na wanakuaga na kauli Tata za matusi ,malipo kidogo ,hawana huruma wala utu kwao wanaamini kwenye kuwafanyia kazi na kuwatenezea Faida kubwa ndio kitu cha Msingi.

Wizara ya kazi kwenye kufuatilia sheria na maslahi ya wafanyakazi hasa wa sekta binafasi bora ifutwe kwa sababu hakuna cha maana wanafanya watanzania bado wanaishi kama watuma kwenye nchi yao kwa jina la mwekezaji.
 
Wamewapa hela za kampeni Eti wajifarague

Kesho tu Lisu anakuwa kila kitu
 
Back
Top Bottom