Iran imewanyonga raia wake wawili, baada ya kutuhumiwa kwa kutuma taarifa nyeti za kijeshi pamoja na location za maeneo ya kiusalama kwenda Israel. Inadaiwa kuwa taarifa hizo zilitumwa wakati wa vita vya siku 12 mwezi Juni 2026, pamoja na wakati wa vita vinavyoendelea hadi sasa na Iran.
Taarifa hizo za mashitaka zimewekwa wazi na chombo cha habari cha Mizan kinachomilikiwa na serikali ya Iran. Chombo hicho pia kimerusha video zinazowaonyesha wawili hao, pamoja na picha za jumbe zikionyesha taarifa wanazodaiwa kutuma.
Kwa mujibu wa Mizan, mmoja wa walionyongwa alituhumiwa kupitisha taarifa za maeneo ya kijiografia kwa msimamizi wa chaneli moja ya Telegram. Jeshi la Mapinduzi la Iran (IRGC) linadai kuwa chaneli hiyo inahusishwa na kundi la majasusi la Israel, Mossad.
Mtu wa pili, ambaye Mizan imemwelezea kama mmoja wa wanajeshi wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin, inasemekana alituma taarifa kwa Mossad pamoja na kwa kituo cha habari cha Iran International. Kituo hicho ni chombo kikuu cha habari cha wakimbizi wanaoipinga serikali ya Iran, ambacho Tehran inakituhumu pia kuwa kinatumika kama kituo cha ukusanyaji wa taarifa za kijaasusi.
============
Iran has executed two of its nationals after accusing them of sending sensitive military information and security location coordinates to Israel during the 12-day war in June and the current war with Iran, state-run media reports.
The charges are detailed by Iran’s Mizan news outlet, which airs footage of the two and screenshots of messages they supposedly sent.
One of the executed individuals was accused of passing coordinates to the administrator of a Telegram channel that the IRGC charges was linked to Israel’s Mossad spy agency, according to Mizan.
The second person, described by Mizan as “one of [Israeli Prime Minister Benjamin] Netanyahu’s soldiers” is said to have sent information to the Mossad as well as to Iran International, a leading news outlet for dissidents in exile that Tehran accuses of also being an intelligence front.
Source: The Times of Israel