Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

wewe ndo hujui muziki unaposema joah makini hana producer hebu thibitisha hapa
Joah makini ndiyo nani?

Horodhesha hits song zake zote kama 30 hivi alafu mbele ya kila nyimbo andika jina la producer wa nyimbo husika utawajua maproducer wote wanafanya kazi na Joh Makini.

Another hit song kutoka kwa Joh makini the mwamba.
 
Brand kama Blue magic ile song ya 2012 anakwambia *Kusalimika ni Ngumu kama hamtoacha zinaa Ku Maintain ni kaz kama huna stamina skills na uvumilivu na kuishi na Viatu mana wote sio watu*
babulai waambie ndio maana kava imechorwa mwamba alafu anaesukuma ni mpuuz yaan awez kitu alafu unajua anasemaje MWAMBA NI MWAMBA TU utakunya bure kumdiss joh mwenzako ajanogesha nyimbo na saida karoli ametunga mwanzo mwisho mpeni namba yuko geto amejikoki ana dawa zenu
 
Acha uchawi were nyimbo mbona nzuri tu na itafanya vizuri, John making amejaribu radha nyingine music tofauti na tulivyomzoea
Ni kitu kizuri
Ni bora ile nyimbo yake popote chochote,kuliko hii hili ni jimbo bovu taslimuu
 
ujui nn maana ya swag mbona bele 9 kwenye wimbo wake mpya anasema *....nilivyo rudi kwenye meza nikakuta emtoo*animus anamaanisha nini emtoo ni emty au ulijua kaongea kinyaturu [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuliza hasira mchezo huu unaitaj floo lain nguvu kidogo like joh amaa mtaelewa tu na atafanya shoo nyingi tu kisa hii nyimbo subirini
 
Mkuu kweli hujapepesa maneno... hii ngoma mbovu
Labda ameona ina expire store kaamua kuiachia tuu
 
Joah makini ndiyo nani?

Horodhesha hits song zake zote kama 30 hivi alafu mbele ya kila nyimbo andika jina la producer wa nyimbo husika utawajua maproducer wote wanafanya kazi na Joh Makini.
Akiziorodhesha hapo nawewe fanya kuzicompare na hii waya utagundua ndio mbovu kuliko zote
 
Nyimbo ya kwanza ya Joh ninayoikubali kabla ya zote ni MANUVA. Aisee pale mwisho. Kwanzia michano, flow mpaka uzito wa punch. Siichoki.
 
sijaiangalia mpaka mwisho cz ni upuuzi mtupu. Wimbo mbaya kuliko
 

Hakuna swag hapo man, jamaa amechemka. Hakuna "patra"(what's that btw?), patois, Fresh Prince's, jargon, or any vernacular where "I'ma gonna" makes sense. Do your homework, man. Joh is my favorite rapper atm, so if there was anyway around to justify his gibberish, I'da been at the front.

Nimezaliwa na kukulia A town zaidi ya nusu ya umri wangu bob, so kupindisha kiswahili nakuelewa vizuri sana, na siyo kwamba sija-notice.

Joh amechemka kwenye lugha hapo, na mbaya zaidi ni kwenye kiitikio(kinajirudia). Ingekuwa ni katika m(i)stari, hakuna noma, hata kina Biggie walishawahi chemka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…