Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Joah makini ndiyo nani?wewe ndo hujui muziki unaposema joah makini hana producer hebu thibitisha hapa
Horodhesha hits song zake zote kama 30 hivi alafu mbele ya kila nyimbo andika jina la producer wa nyimbo husika utawajua maproducer wote wanafanya kazi na Joh Makini.
Another hit song kutoka kwa Joh makini the mwamba.