Ujinga na Upumbavu ndiyo unakusumbua kwa kuwa hutumiiI akili zako vizuri ukiambiwa utafute Taifa lenyewe Alana utawatafuta wayahudi? Kwa vipi? Watu ambao wamekufanya wewe uwe na mawasiliano ya simu na computer wana teknolojia za kila aina wana uwezo wa kugeuza Jangwani kuwa nchi ya rutuba na wanaoweza kugeuza maji ya bahari kuwa maji ya kuweza kunyweka na binadamu.Kama vile na kuelewa mkuu, ila mm naona Israelite ni kama taifa lenye laana sana. Hata kwenye Bible inaonekana trauma wakiyoipitia Egypt iliwakaa na kuwa haribu vizazi na vizazi
Tatizo lako kubwa ni kuwa Mwarabu-koko asiyejitambua!!Halafu wewe jamaa mkundugu sana.
Unapenda ku divert mada.
Ulivyo mjinga hata hujui hiyo Tiktok Ina milikiwa na nani kazi kubwabwaja ujinga tu!!Wayahudi wenyewe ndio wanajidhalilisha live huko mjini tiktok 😁 ila kajamaa kanadai anamezeshwa ujinga na waarabu 😁😁 akili mtu wangu
Vipi kuhusu mtazamo wa shekhe mwaipopo kuhusu wayahudiUkitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi.
Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa wana akili chafu na mbovu, inashangaza sana wanao amini hilo eti ni taifa teule.
Hawa jamaa kiundani kabisa hawajulikani ila mitandao ya kijamii imekuja waumbua , ni tofauti kabisa na watu hasa jamii za Africa zinavyowafikiri walivyo
Hamzah saadah 👇View attachment 3675507
Kwa akili yako hiyo huna tofauti na Sheikhe Mwaipopo wote ni Waarabu-koko akili zenu zinakaa kwenye makalio yenu!!!Siwasikilizagi wapumbavu kama shekhe mwaipopo🚮
Hujui hata kuwa technology imeongeza dhiki na ni end effect ya kutaka kushinda nature?Ujinga na Upumbavu ndiyo unakusumbua kwa kuwa hutumiiI akili zako vizuri ukiambiwa utafute Taifa lenyewe Alana utawatafuta wayahudi? Kwa vipi? Watu ambao wamekufanya wewe uwe na mawasiliano ya simu na computer wana teknolojia za kila aina wana uwezo wa kugeuza Jangwani kuwa nchi ya rutuba na wanaoweza kugeuza maji ya bahari kuwa maji ya kuweza kunyweka na binadamu.
Isitoshe wao mpaka sasa hivi wao ni vidume kwa mambo ya kijeshi huko Mashariki ya Kati mpaka huko Iran na wayahudi ndiyo Chanzo cha Gaidi Ali Khamenei na magaidi wengine kuuwawa hiyo Lana imetoka wapi? Wewe ndiye Una laana kwa kuwa Mwarabu-koko asiyejitambua!!
Hapa umepuyanga na umeongea hisia ukaacha kutumia akiliKiufupi jamaa ni weupe kichwani,
Wala sio wao 20% ya hisa ni kwa mmiliki mwenyewe, 20% bytedance na 60 ni makampuni mbalimbali duniani, pamoja na hayo bytedance ya china ndio mmiliki.Hujui hata kuwa technology imeongeza dhiki na ni end effect ya kutaka kushinda nature?
Hujui kuwa hawajamaa wanafanya vile kui dumb down dunia ili wapate kucontrol na kuendelea ujinga wao?
Wewe sasa ndio unamwaga facts mkuu.Wayahudi wameokolewa na familia ya Rotschild , kuna familia nyingine ila sijazijua zaidi ..Ukisoma utaelewa , hao jamaa ishu ya kujitenga kwao ni kama trauma , wanafundisha vizazi vyao ili wasije kusahau mateso makubwa waliyoyapitia .
Wayahudi wanaishi maisha ambayo yako kinyume na binadamu wengine, japo unawaona wana teknolojia kubwa na pesa ila jamaa wanaona kama wametengwa na dunia.
Mimi nimeshikilia hapo umesema ni weupe kichwani. Labda kama unamaanisha kuhusu mitazamo yao binafsi kuhusu jambo flan ila kama una maanisha AKILI, aaah hapo mjomba dunia nzima itasubir sana kwa hao voumbe wanaoitwa Jews. Bila hao hakuna dunia hii ilioendelea tunayoiona sasaIngia wasikilize raia wana maoni gani
Ujinga wako uliomezeshwa na waarabu ndiyo unakufanya uamini wayahudi wamelaaniwa?Hujui hata kuwa technology imeongeza dhiki na ni end effect ya kutaka kushinda nature?
Hujui kuwa hawajamaa wanafanya vile kui dumb down dunia ili wapate kucontrol na kuendelea ujinga wao?
Duuh bytedance ndo nn bwasheeWala sio wao 20% ya hisa ni kwa mmiliki mwenyewe, 20% bytedance na 60 ni makampuni mbalimbali duniani, pamoja na hayo bytedance ya china ndio mmiliki.
Ukisikia mtu anadai yupo tayari watoto wote wafe , hata wanaozalia leo , utasema huyo mtu ana akili timamu?Mimi nimeshikilia hapo umesema ni weupe kichwani. Labda kama unamaanisha kuhusu mitazamo yao binafsi kuhusu jambo flan ila kama una maanisha AKILI, aaah hapo mjomba dunia nzima itasubir sana kwa hao voumbe wanaoitwa Jews. Bila hao hakuna dunia hii ilioendelea tunayoiona sasa
Hakuna cha maana unacho ongeaUjinga wako uliomezeshwa na waarabu ndiyo unakufanya uamini wayahudi wamelaaniwa?
Watu waliokufanya uwe na simu,computer na vifaa vingine vya kisasa wewe unawaita wana laana bila Shaka yoyote wewe na waarabu wako ndiyo mna laana kubwa sana
Kama unajiamini Acha kutumia vifaa vyao tuone Kama utaweza kutumia huo UHARO wako humu JF
Endelea kujifariji na ujinga wako huo!!Wala sio wao 20% ya hisa ni kwa mmiliki mwenyewe, 20% bytedance na 60 ni makampuni mbalimbali duniani, pamoja na hayo bytedance ya china ndio mmiliki.
Eti wayahudi Ombaomba ndivyo ulivyo karirishwa na Sheikhe Mwaipopo?Ukisikia mtu anadai yupo tayari watoto wote wafe , hata wanaozalia leo , utasema huyo mtu ana akili timamu?
Tembea ujionee mpaka mayahudi ombaomba yamejazana dunia nzima