Andrey Ilyich Khrzhanovsky ni Mwanaharakati video zake nyingi ni za kuchochea watoto wadogo wafanye vurugu kwa askari wa Israel huku wao wakipiga picha na kuzisambaza kuonyesha na kujenga chuki dhidi ya Wayahudi.Mtafute mwanahabari wa kunitegemea, Mrusi mwenye asili ya Israel anaitwa Andrey Ilyich Khrzhanovskiy au andreyX ili uone mambo wanayofanya magaidi wa kiyahudi dhidi ya Wa Palestine waishio West bank na Gaza
Hata wangekuwa wa Blue wayahudi watabaki kuwa wayahudi tu!!Inasemekana wayahudi wa kale walikuwa ni weusi, sijui walibadilika lini kuwa weupe...
NB: zipo taarifa nyingi zinazodai wayahudi waliotoka misri walikuwa weusi ijapokuwa haijatamkwa wazi kwenye biblia.
We jamaa mbona kazi yako ni kuweka negative energy tu?Mimi si **Bumunda**wa kufata mawazo ya mtu mwenye Mihemko binafsi bila kufuata Historia husika huyo atawaokota wajinga na wapumbavu tu ambao wakija hapa na video zao za michongo tutawauliza najua hawataweza kutujibu!!
Hata wewe nenda valeted hizo video zake tukuulize maswali tuone kama utatujibu.
Huko Judea & Samaria kuna magaidi kila siku wanauliwa na silaha zao zinaonyeshwa harafu linatokea Liarabu-koko linatetea ujinga!!
Mimi si Bozongo Kama wewe wa kukubali kulishwa Matango-Pori!!We jamaa mbona kazi yako ni kuweka negative energy tu?
Hujielewi kuwa wewe ndiye mwenye shida? Unaclash kila mtu?Mimi si Bozongo Kama wewe wa kukubali kulishwa Matango-Pori!!
Kijana Mimi si Bozongo wa kukaririshwa hapa tuna kwenda na facts tu basi!! Mimi sipelekwi na Mihemko!!!Hujielewi kuwa wewe ndiye mwenye shida? Unaclash kila mtu?