Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Kwa mtazamo wangu wayahudi wanaozungumziwa kwenye biblia na hawa waliopo huko uyahudini ni watu wawili tofauti
Wamechanganya na damu za kizungu , wayahudi pure wanafanana na wa palestina , walebanon , Iran na watu wa uturuki
 
Kila mtu au jamii inayo haki yakuwafunza watoto wake mtazamo na mapokeo wanayotaka. Hata wewe watoto wako unaweza kuwafundisha unachotaka kama ambavyo watoto wa kifalme/malkia au machifu wengi hufundishwa utawala tu 'ukikua lazima uje uwe chief/mfalme au malkia'
 
Hapa hatuzungumzii hayo unayo dai upo nnje ya mada
 
Ujinga na Upumbavu ndiyo unakusumbua kwa kuwa hutumiiI akili zako vizuri ukiambiwa utafute Taifa lenyewe Alana utawatafuta wayahudi? Kwa vipi? Watu ambao wamekufanya wewe uwe na mawasiliano ya simu na computer wana teknolojia za kila aina wana uwezo wa kugeuza Jangwani kuwa nchi ya rutuba na wanaoweza kugeuza maji ya bahari kuwa maji ya kuweza kunyweka na binadamu.

Isitoshe wao mpaka sasa hivi wao ni vidume kwa mambo ya kijeshi huko Mashariki ya Kati mpaka huko Iran na wayahudi ndiyo Chanzo cha Gaidi Ali Khamenei na magaidi wengine kuuwawa hiyo Lana imetoka wapi? Wewe ndiye Una laana kwa kuwa Mwarabu-koko asiyejitambua!!
Wewe linyani jeusi sokwe mtu unawashwawashwa kila uliona taarifa za mabwana zako wayahudi
Sokwe mtu tangu lini umekuwa myahudi huku una lipua likubwa na nywele za kipilipili

View: https://www.youtube.com/watch?v=jrWLEjPLqVg
 
Eti wayahudi Ombaomba ndivyo ulivyo karirishwa na Sheikhe Mwaipopo?

Je wajua kuna Pillcam Na teknolojia nyingine ambazo ni made in Israel? Endelea kuwa Bumunda
hiki ni nini kama sio ombaomba xumanyang'au wewe

1790115154468.png
 
Hapa hatuzungumzii hayo unayo dai upo nnje ya mada
Usijifanye mwalimu wa kusahihisha wakati huu ni mjadala hauna marking scheme, wayahudi wako sahihi kuwafundisha watoto wao wanachoamini juu ya Wapalestina wakati huohuo Wapalestina nao wako sahihi kuwafunza watoto wao wanachoamini juu ya Wayahudi.
 
Nimemaliza, endelea kubwabwaja
 
Hakuna Binaadamu mwenye haki zaidi ya kuishi kuliko binaadamu mwingine. Binaadamu wote ni sawa.

Hawa wanajiona wao ni Bora, kuliko wengine. Lakini kiuhalisia wanabebeshana past traumas kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Mambo ya judea sjui Samaria yanasaidia nini, ikiwa tayari kulikuwa na wenyeji wanaishi pale, hata kama walikuwa wanatawaliwa na wakoloni.

Ni sawa uende mji wa MTU, umuambie atoke kisa miaka Mia iliyopita kulisadikika babu zake kuishi pale.

Na kingine wanachochanganya wengi, ni kusema kuwa hii migongano iliyopo sasa, chanzo ni dini. Wakati kiuhalisia Israel Wana project Yao wanahitaji kuifanikisha.
 
We nae una*ombwa nini!!!

We ndo umeleta habari za wao kufanya sijui kitu gani unaulizwa unaanza kujizungusha hapa kama ***** smh
Nilijua tu Mfuga majini lazima tu majini yako yatapanda na utaanza kutoa matusi!! Hata hivyo haiondoi ukweli kuwa wewe ni Mwarabu-koko ambaye hutapenda kusokia ukweli maana umemezeshwa ujinga na Mabwana zako waarabu!!
 
Wayahudi wameteseka sana , kuna stori yao nilisoma mpaka nikawaonea huruma ..Kiufupi , hao jamaa wana insecurity , wanaishi kwa hofu sana . Wanayofanya ni matokeo ya waliyofanyiwa huko nyuma.
Wayahudi???? au WaIsrael????
Halafu kulikuwa na Jumla ya makabila kumi na mawili.....Wayahudi ni moja tu,,,kuna Kabila la Reuben,,,Kuna kabila la Yusufu...kuna Kabila la Gadi etc...
Hao kina Netanyahu sio Wayahudi....... hao ni Ma Ashkenazi........ wamejibambika tu!!! kimsingi hao ndio wapinga KRISTO,
TRUST ME!!
 
uko sahihi , naongelea wayahudi halisi sio hawa waliunda taifa 1948.
 
Nafatiliaga podcast yake jamaa. Niseme tu wayahudi wanafundishwa chuki wakiwa wadogo sana maana hua wanamtukana balaa. Dunia ingekua salama kama wayahudi/Israel wasingekuwepo

Kwaiyo mungu hana akili???
Aliyewaumba?
 
Hakuna Binaadamu mwenye haki zaidi ya kuishi kuliko binaadamu mwingine. Binaadamu wote ni sawa.

Hawa wanajiona wao ni Bora, kuliko wengine. Lakini kiuhalisia wanabebeshana past traumas kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Mambo ya judea sjui Samaria yanasaidia nini, ikiwa tayari kulikuwa na wenyeji wanaishi pale, hata kama walikuwa wanatawaliwa na wakoloni.

Ni sawa uende mji wa MTU, umuambie atoke kisa miaka Mia iliyopita kulisadikika babu zake kuishi pale.

Na kingine wanachochanganya wengi, ni kusema kuwa hii migongano iliyopo sasa, chanzo ni dini. Wakati kiuhalisia Israel Wana project Yao wanahitaji kuifanikisha.
💯
 
uko sahihi , naongelea wayahudi halisi sio hawa waliunda taifa 1948.
Una uhakika gani wewe Mmatumbi mwenzangu kuwa hawa ni halisi na hawa si halisi? Au kwa kuwa wewe ni Mwarabu-koko Waarabu watakalo kuambia basi wewe Bumunda unaruka nalo?
 
Back
Top Bottom