Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Sasa Hamas ndio watoto wadogo wa Gaza? Kwa nini wasigombane na Hamas wao wanaenda kuua innocent civilians?
Wayahudi wanaamini katika itikadi ya JINO KWA JINO, yani wanaongea lugha ambayo maadui zake wanaielewa.....ukiniua nakuua, ukinitukana nakutukana...!!
 
Hauwezi vamia taifa la watu kimabavu watulie tu
 
Israel iliiteka gaza na West Bank 1967 Hamas iliianzishwa 1987 , fikiria hapo utapata jibu
Mgogoro ulianza 1948 pindi Waarabu walivyopewa ardhi ya palestina na wayahudi kupewa ardhi ya palestina wagawane ili kuepusha migogoro ya kikabila na kidini, wayahudi walikubali maramoja ila waarabu wakagoma, ndo zikaanzishwa vita rasmi.....Sasa in war The winner always write the story....!! Ukipoteza vita jiandae kupoteza na ardhi.
 
Wewe ungekubali tuje kugawana shamba lako hapo kwako?
 
Wateule
 
Attachments

  • Screenshot_20260922-170411~2.jpg
    Screenshot_20260922-170411~2.jpg
    211.8 KB · Views: 6
Hauwezi vamia taifa la watu kimabavu watulie tu
Before 1948 hiyo ardhi ilikua chini ya British colony, haikua nchi, even before british hiyo ardhi ilikua chini ya utawala wa Ottoman.....kwahiyo katika hiyo ardhi kulikua na jamii za kiarabu, kiyahudi na other ethic groups....kwahiyo huwezi sema specific hiyo ardhi ilikua ya waarabu wa kipalestina pekee.
 
Israel iliiteka gaza na West Bank 1967 Hamas iliianzishwa 1987 , fikiria hapo utapata jibu
Gaza ilikua under egypt occupation till 1967 ilipoteza kwenye six day ward, west bank ilikua under Jordan pia.
 
Hamas waliibuka tu nakuanza kupambana bila shida yoyote kumbe?
Hamas ni matokeo ya mgogoro wa wayahudi na waarabu wa palestina, ni ma hardliner, chanzo cha mgogoro nimesha kieleza tayari.
 
Before 1948 hiyo ardhi ilikua chini ya British colony, haikua nchi, even before british hiyo ardhi ilikua chini ya utawala wa Ottoman.....kwahiyo katika hiyo ardhi kulikua na jamii za kiarabu, kiyahudi na other ethic groups....kwahiyo huwezi sema specific hiyo ardhi ilikua ya waarabu wa kipalestina pekee.
Hizo 22% ambazo palestina walikubali wapewe chini ya yassin araphati ikawaje walowezi wa ashkenaz wanazichukua tena kimabavu?
 
Wewe ungekubali tuje kugawana shamba lako hapo kwako?
Kama jamii mbili zinavutana mara kwa mara ni bora zigawane mbao tu mfano
India na pakistani ni jamii zilizotofautiana kiitikadi ikabidi wagawane ardhi tu
Sudan na South sudan pia hivyo hivyo
Taiwan na China
Ugoslavia pia iligawanyika

Kwahiyo ukicheki hiyo trending ni kitu natural kugawana ardhi usuluhishi wa maneno ukishindikana.
 
Wewe Mwarabu-koko ndiyo unayeteseka sana maana huna mbele wala nyuma umemezeshwa ujinga na waarabu nawe umeufakamia bila kujiuliza!!!

Yaani wewe kijana wa uwanja wa fisi , Manzese , unawajua zaidi wayahudi kuliko wayahudi wenyewe wanavyojijuwa ?? Au umekuwa punga ??
 
Kama jamii mbili zinavutana mara kwa mara ni bora zigawane mbao tu mfano
India na pakistani ni jamii zilizotofautiana kiitikadi ikabidi wagawane ardhi tu
Sudan na South sudan pia hivyo hivyo
Taiwan na China
Ugoslavia pia iligawanyika

Kwahiyo ukicheki hiyo trending ni kitu natural kugawana ardhi usuluhishi wa maneno ukishindikana.
Huu ni mtazamo wako , sikiliza hizo clip hapo juu utaona mtazamo wa wayahudi , ndio maana ukiona wapalestine hawachoki kupambania haki uwe una elewa maana yao
 
Hizo 22% ambazo palestina walikubali wapewe chini ya yassin arafafi ikawaje walowezi wa ashkenaz wanazichukua tena kimabavu?
West bank hiyo.....Jews wanaiterm kama judae na samaria......huko ki namna flani jews wanazingua.
 
Huu ni mtazamo wako , sikiliza hizo clip hapo juu utaona mtazamo wa wayahudi , ndio maana ukiona wapalestine hawachoki kupambania haki uwe una elewa maana yao
Kwa wayahudi pia wametofautiana kimitizamo.....mfano hasidic jews hawataki kabisa masuala ya kugrab ardhi pia hata kujiunga jeshini huwa wanakataa, ila kuna Zionist hawa ni wazee wa ardhi na kudeal jino kwa jino na waarabu wa palestina....pia kuna liberal jews hawa ni pro-western yaani hawajali kuhusu ardhi, wao ni kula bata etc....kwahiyo hayo maoni uliyoyaleta ni sehemu ya kundi la jews lenye hiyo mitazamo.
 
Upo sahihi
 
Imani za kijinga
Ndo lugha inayoeleweka hapo mashariki ya kati mkuu, jifanye mnyonge upotee, Wakristo wanazidi kupukutika middle east kisa kuendeleza itikadi ya waombeeni maadui zenu, adui yako akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia, eti wapendeni maadui zenu......in middle east inabidi uwe hardcore kiswasawa
 
Back
Top Bottom