Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Kabisa mkuu, teknolojia imekuja fungua mbongo za watu , kila kitu kwa sasa kipo wazi tu
wanatoka wayahudi kutoka europe na america wanakiri na kulalamika kwamba wao walivyosimuliwa land was empty lakini walivyofatilia wanasema taarifa zile zilikua za uongo,
watu ambao bado wanakaza fuvu wazito sana kuelewa
 
Hiyo ni mitazamo yao binafsi wala shida kwakua hata ukiwasikiliza wapelestina kuhusu wayahudi nao wana mitazamo yao. Ni kama kama wewe mitazamo yako juu ya kuoa kaskazini ilivyo au mitazamo ya ccm kuhusu chadema and vice versa. Hiki ni kitu kila mtu atabaki kumshangaa na kutomwelewa mwenzake forever
Waislamu kupitia Quran wameamrishwa kuwalaani na kuwachukia wayahudi. Hapo hawezi kukuelewa sababu hiyo tayari ni amri wamepewa
 
wanatoka wayahudi kutoka europe na america wanakiri na kulalamika kwamba wao walivyosimuliwa land was empty lakini walivyofatilia wanasema taarifa zile zilikua za uongo,
watu ambao bado wanakaza fuvu wazito sana kuelewa
Hao ashkenaz waliwakuta mizrahi pale toka kitambo , kuna baadhi ya ma rabi wa mizrahi wanapinga sana tamaduni zao kuharibiwa na hawa ashkenaz
 
Unaniuliza kitu ambacho wewe ndio ulitakiwa ukiseme.

Kuhusu hayo matukio basi tuseme hata sisi blacks Dunia inaanza kututenga maana watu influential kama Vini Jr wanakumbana na ubaguzi maana yake Dunia imeanza kututenga blacks?
tukio lile kubwa nilitarajia ungelikumbuka,

kuhusu watu weusi kutengwa hii ni mada nyingine na ni rahisi sana:

Mtu mweusi hata yeye mwenyewe tu deep down hajikubali kua mweusi hivi, na kuthibitisha hilo ni ngumu mtu mweusi kumbagua mtu mweupe, maana cream za kujichubia wala zisingekua na soko, au hata kwenye masherehe watu wasingekua weupe kupita kiasi , kama unaelewa hii dhana

ngoja niangalie kama ntaweza kupata clip fasta fasta kwenye bookmarks ukaeleweshe na wenzako
 
Rotschild ile familia ina mchango mkubwa lakini pia hawa jamaa wapo vizuri kwenye nyanja mbali mbali mpaka wanaanza kupelekwa kwenye Concentration Camp walikua wameshika sana uchumi wa Ulaya Mashariki. Kwa nature yao ni watu aggressive sana ndo maana walipressurise sana wapate taifa lao, kuanzisha taifa siyo jambo dogo mfano mrahisi leo angalia Wakurdi wapo zaidi ya 60M lakini kupata taifa imekua ngumu.
Hao jamaa walikuwa disorganize , Rotschild ndiye ameshawishi UK kwa sababu ana historia ya kuwasaidia UK kununua baadhi ya maeneo ..Hitler alikuwa anwashutumu hao jama kwamba walisababisha mdodoro wa kicuhumi ila haileweki kwa namna gani .

Wayahudi mpaka kesho hwapo kwnye mambo ya kidunia , waishi maisha ya miaka ya nyuma japo wako nyuma(wana mchango mkubwa) ya teknolojia nyingi tu dunia ..Kwanza , wanaongoza kwa kutumia simu za button hsa zile kujikunja zenye dole ,mavazi yao huvaa kama sare yaani suruali nyeusi na shati jeupe , hata vyakula wanakula vya kawaida ..Sio watu wa michezo kama mpira ila wanamiliki kablu za soccer, kwenye muziki hawapo , sehemu nyingi wamejificha ..Haya yote wanayafanya wakiwa nchi za watu ila wanakuwa huru zaidi wakiwa pale Tel AVIV, huko kwingine wanaishi kwa kujishtukia .
 
tukio lile kubwa nilitarajia ungelikumbuka,

kuhusu watu weusi kutengwa hii ni mada nyingine na ni rahisi sana:

Mtu mweusi hata yeye mwenyewe tu deep down hajikubali kua mweusi hivi, na kuthibitisha hilo ni ngumu mtu mweusi kumbagua mtu mweupe, maana cream za kujichubia wala zisingekua na soko, au hata kwenye masherehe watu wasingekua weupe kupita kiasi , kama unaelewa hii dhana

ngoja niangalie kama ntaweza kupata clip fasta fasta kwenye bookmarks ukaeleweshe na wenzako
Matukio ya aina hiyo yapo mengi, hata Marekani yamewahi kutokea kuhusu wasomali. Unataka kusema Dunia imeanza kuwatenga wasomali??

Kuhusu blacks kujikubali au kutojikubali haina uhusiano na mfano wangu kwa maana matukio ya blacks kutengwa hayajaanza Jana Wala Leo huko Europe na marekani, ni tokea miaka na Miaka.
Au unataka kusema hata hiyo miaka ya enzi hizo za ukoloni blacks pia walikua hawajikubali walikua wanatunia cream?
 
Wyahudi mpaka kesho hwapo kwnye mambo ya kidunia , waishi maisha ya miaka ya nyuma japo wako nyuma ya teknolojia nyingi tu dunia ..Kwanza , wanaongoza kwa kutumia simu za button hsa zile kujikunja zenye dole
Uislamu na uongo Huwa ni vitu vinaenda sambamba??

Israel ya wapi hiyo ambayo watu wake wanatumia simu za dole gomba? Ikiwa Israel ni nchi ya pili duniani kwa watu wake asilimia kutumia smartphone?

Pitia hii kupata japo picha kidogo
Screenshot_20260922-125042~2.jpg
 
Matukio ya aina hiyo yapo mengi, hata Marekani yamewahi kutokea kuhusu wasomali. Unataka kusema Dunia imeanza kuwatenga wasomali??

Kuhusu blacks kujikubali au kutojikubali haina uhusiano na mfano wangu kwa maana matukio ya blacks kutengwa hayajaanza Jana Wala Leo huko Europe na marekani, ni tokea miaka na Miaka.
Au unataka kusema hata hiyo miaka ya enzi hizo za ukoloni blacks pia walikua hawajikubali walikua wanatunia cream?

View: https://www.youtube.com/shorts/8Q6tL5Qt-co

fatilia hilo sakata utakuja kunielewa, maana bila kuelewa itakua kazi bure
 
View: https://www.youtube.com/shorts/8Q6tL5Qt-co

fatilia hilo sakata utakuja kunielewa, maana bila kuelewa itakua kazi bure

Hili sakata maana yake ni Dunia imeanza kuwatenga wayahudi?

Masakata kama haya nimekueleza yapo Kwa jamii zote, wasomali, waarabu, waafrica n.k hapo ndio nikakuuliza je wasomali, waarabh, waafrika nao wameanza kutengwa?
 
ungeelewa hiyo clip, sakata lilianza wapi , huyo mayor akasema nini na kisha baadae kufuta maneno yake, ndo ungeelewa muktadha wa mjadala

ila kama unataka kukomalia semantics, basi kila la kheri
 
Uislamu na uongo Huwa ni vitu vinaenda sambamba??

Israel ya wapi hiyo ambayo watu wake wanatumia simu za dole gomba? Ikiwa Israel ni nchi ya pili duniani kwa watu wake asilimia kutumia smartphone?

Pitia hii kupata japo picha kidogo
View attachment 3675649
Soma kijana acha kudanganywa , soma nilichoandoka kwamba hapo Tel AVIV na Israel ndipo wanapojimwaga huku kwingine kuna video inaonesha wako New york , wanatumia simu za button. Wanapokuwa nchi za watu , wanatumia sana simu za Buttons na baadhi yao katika miji ambayo wako wachache hata wanapoishi hawajulikani .

Ninaposema nyuma sio kwamba hawana maendeleo , ni kwamba wao ni wahusika wa hizo teknolojia ila wanajifanya kama haziwahusu ..Nguo , wanategeneza mpaka brand kubwa ila wao ni shati juepe na suruali nyeusi . Wanachodai ni dini yao hasa orthodo ila ukweli wanaogopa mambo ya kufuatilia , kuna mtaalamu alisema kuhack zile simu ya kizamani ngumu sana

Kijana wa paulo acha ubishi , wenzio hata Tvs hawana time nazo , wanaishi ulimwengu mwigine kabisa .

View: https://youtu.be/DUGSOivpHN0?si=baZoGCGQg7dfJbWd

View: https://www.instagram.com/reel/DTso39kgXfw/?utm_source=ig_web_copy_link&stkn=NTc4MTIwNjQ2YQ==
 
Wayahudi wameteseka sana , kuna stori yao nilisoma mpaka nikawaonea huruma ..Kiufupi , hao jamaa wana insecurity , wanaishi kwa hofu sana . Wanayofanya ni matokeo ya waliyofanyiwa huko nyuma.
Lakini, kwanini wahayahudi wameyapitia hayo waliyoyapitia. Maana wameteswa na kuuliwa hadi na wazungu kwa nyakati tofauti tofauti?
 
Lakini, kwanini wahayahudi wameyapitia hayo waliyoyapitia. Maana wameteswa na kuuliwa hadi na wazungu kwa nyakati tofauti tofauti?
Kwanza kwa nini wewe hujiulizi kwanza kwa nino waarabu waliwaua mababu zako na kuwatesa kisha wengine kuwauza utumwani? Au kwa sababu ak8li zako huzitumii vizuri?
 
Kwanza kwa nini wewe hujiulizi kwanza kwa nino waarabu waliwaua mababu zako na kuwatesa kisha wengine kuwauza utumwani? Au kwa sababu ak8li zako huzitumii vizuri?
Let me engage you katika upumbavu wako huo huo.

Unajua kuwa waafrika walifanyana watumwa wao kwa wao? Unajua kuwa wajapan waliwafanya watumwa watu wengi wa Asia kwa miaka mingi? Unajua kuwa watu wa ulaya waliua wenyeji wa amerika na kukaribia kuwapoteza kabisa? Unajua kuwa wazungu waliwakaribia kabisa kuwafuta kabisa katika uso wa dunia wa-aboriginal? So, kama unadhani kuwa historia unaitazama katika uyahudi na uarabu tu, wewe ni mpumbavu nambari moja katika huu ulimwengu. Hizo habari za kijinga za kuwa brainwashed kwa uyahudi na uarabu kawapelekee wapumbavu wenzio.

Nimeuliza swali hilo, kuhusu historia ya uyahudi, wewe unaleta habari za waarabu uko sawa sawa kweli kichwani wewe? Wapi nimeandika au kutetea ushenzi wa waarabu dhidi ya mtu mweusi? Acha ujuha wewe jamaa
 
Kwa hiyo umeamua kutoa UHARO huu kuwalinda waarabu? Au wewe kuitwa Mwarabu-koko ndiyo imekuwa sababu ya wewe kujitoa ufahamu na kutuletea mifano ya kipumbavu kama hiyo!!?

Wewe huna uwezo wa ku engage na mimi kwa kuwa huna lolote unalolijua zaidi ya kulishwa Matango-Pori na Waarabu wajinga wenzako!!
 
Unajua kuwa wazungu waliwakaribia kabisa kuwafuta kabisa katika uso wa dunia wa-aboriginal? So, kama unadhani kuwa historia unaitazama katika uyahudi na uarabu tu, wewe ni mpumbavu nambari moja katika huu ulimwengu. Hizo habari za kijinga za kuwa brainwashed kwa uyahudi na uarabu kawapelekee wapumbavu wenzio.
Kwa hiyo umemezeshwa Chuki dhidi ya Wazungu? Huna lolote wewe!!

Ujinga na Upumbavu ndiyo unaokusumbua akili!!!

Kwa hiyo na wewe unakuja ku engage na mimi kwa upumbavu wako huu? Kwa hiyo na wewe umeaminishwa kuwa Israel imelaaniwa? Waarabu-koko acheni ujinga!!

Wakati Waarabu-Koko mnahangaika kuichafua Israel kwa maneno ya uongo wao wanaendelea vizuri na ugunduzi wa Teknolojia mpya za kujihamu na kuisaidia dunia!!
 
Attachments

  • 629ee794e3ce2236d9ad693f25cad5f9.mp4
    10.6 MB
  • 8ec7838a14941ee6d113bc4a6aced3c2.mp4
    22.4 MB
  • d10287fb0f6f3dcadf5111c608ed0997.mp4
    7.9 MB
Kwa hiyo umeamua kutoa UHARO huu kuwalinda waarabu? Au wewe kuitwa Mwarabu-koko ndiyo imekuwa sababu ya wewe kujitoa ufahamu na kutuletea mifano ya kipumbavu kama hiyo!!?

Wewe huna uwezo wa ku engage na mimi kwa kuwa huna lolote unalolijua zaidi ya kulishwa Matango-Pori na Waarabu wajinga wenzako!!
Ndio maana nimekuambia wewe ni mpumbavu.
 
Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi.

Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa wana akili chafu na mbovu, inashangaza sana wanao amini hilo eti ni taifa teule.

Hawa jamaa kiundani kabisa hawajulikani ila mitandao ya kijamii imekuja waumbua , ni tofauti kabisa na watu hasa jamii za Africa zinavyowafikiri walivyo

Hamzah saadah 👇View attachment 3675507

Ndugu mtoa hoja min-me,
Hoja uliyofungua kuhusu mtazamo wa jamii ya Kiyahudi, hofu yao ya kihistoria (insecurity), na maudhui ya mahojiano ya Hamzah Saadah kwenye TikTok inagusa kiini kibaya cha mgogoro wa Mashariki ya Kati. Ili kuweka mtazamo mpana na wa kiweledi, napenda kuchangia hoja zifuatazo zinazoonyesha uhalisia wa kihistoria wa namna ukarimu ulivyolipwa kwa ubaya:

1. Ukweli Kuhusu "Insecurity" na Athari za Kihistoria
Ni kweli kabisa kuwa jamii ya Kiyahudi inaishi katika kile wanasaikolojia wanachoita "collective trauma" (kiwewe cha pamoja) kutokana na madhila, ubaguzi mkali, na hatimaye Maangamizi Makuu (The Holocaust) yaliyowapata huko Ulaya. Kihistoria, mateso haya yamejenga itikadi ndani ya mfumo wao wa ulinzi kwamba "dunia nzima ni adui na hakuna wa kuwalinda isipokuwa wao wenyewe." Hata hivyo, ukosoaji mkubwa wa kiweledi unafanyika pale ambapo hofu hii ya kihistoria inapotumika kama "halali" au sababu ya kusababisha maumivu, ukandamizaji, na kuwanyima haki raia wengine—katika muktadha huu, Wapalestina.

2. Funzo Kutokana na Maudhui ya Hamzah Saadah (Absorber)
Maudhui ya Hamzah Saadah kwenye TikTok yamekuwa jicho muhimu sana katika kuonyesha uhalisia wa kile kinachofundishwa na kuaminiwa ndani ya jamii fulani za Kiyahudi, hususan vizazi vipya. Ni ukweli usiopingika kuwa mitandao ya kijamii imesaidia kuondoa pazia na kuonyesha mitazamo mikali, chuki, na mifumo ya ubaguzi ambayo mara nyingi haionekani kwenye vyombo vikuu vya habari vya Magharibi. Hili linatukumbusha kuwa imani ya kuwa "taifa teule" isipotumiwa kwa uadilifu, hugeuka kuwa chombo cha kubagua na kudunisha utu wa wengine.
Hata hivyo, kiweledi ni muhimu kutambua kuwa jamii ya Kiyahudi sio jengo moja thabiti lenye msimamo mmoja (monolith). Kuna wasomi na wanaharakati wakubwa wa Kiyahudi duniani wanaopinga vikali sera hizi za Kizayuni (Zionism). Mfano mzuri ni msomi mashuhuri Dr. Norman Finkelstein (ambaye wazazi wake walinusurika kwenye makambi ya Holocaust ya Wanazi lakini akawa mtetezi mkubwa wa haki za Wapalestina), pamoja na makundi kama Jewish Voice for Peace na Neturei Karta. Hawa wanasimama kidete kuonyesha kuwa unaweza kuwa Myahudi na bado ukapinga ukatili unaofanywa na serikali ya Israel.

3. Mtazamo Wangu: Kulipa Wema kwa Ubaya, Uporaji wa Nyumba na Ushahidi wa Golda Meir
Ukiacha hoja ya kwamba waliteseka, ukiangalia kiundani wa kihistoria—na huu ndio mchango wangu mkubwa hapa—kuna ukweli unaoumiza wa jinsi ukarimu ulivyolipwa kwa ukatili. Wakati Wayahudi walipokuwa wakikimbia mateso makali ya Ulaya, walipokelewa katika ardhi ya Palestina kwa misingi ya kibinadamu na wenyeji waliowaonea huruma.
Ushahidi wa kuwa eneo hilo lilikuwa ni nchi kamili ya Palestina yenye mifumo yake unathibitishwa hata na viongozi wao wenyewe. Katika mahojiano yake maarufu ya televisheni ya mwaka 1970 na Thames TV, aliyekuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa Israel, Golda Meir, alikiri wazi kwa kusema: "Mimi mwenyewe ni Mpalestina. Kuanzia mwaka 1921 hadi 1948, nilikuwa nikisafiri kwa kubeba pasipoti ya Palestina". Huu ni uthibitisho wa kimaandishi kuwa nchi na utambulisho huo vilikuwepo na viliwapa hifadhi.

Hata hivyo, kuanzia tukio la Nakba ya mwaka 1948, wema huu ulilipwa kwa ubaya wa kiwango cha juu. Kupitia sheria dhalimu za kijeshi, maelfu ya familia za Kipalestina zilizowakaribisha wageni hao zilifukuzwa kwa mtutu wa bunduki au kulazimika kukimbia machafuko kwa muda mfupi. Katika uhalisia wa kusikitisha, familia za Kiyahudi ziliingia na kukalia nyumba hizo zikiwa bado zina vifaa, samani, na hata chakula cha wenyewe kikiwa mezani.
Vitasa vya milango vilibadilishwa haraka ili kuhakikisha wamiliki halali hawarudi tena. Ndani ya usiku mmoja, raia wa Kipalestina waliokuwa wenyeji wa vizazi na vizazi waligeuka kuwa wakimbizi na wageni nje ya milango ya nyumba zao wenyewe, huku wale waliokaribishwa hapo mwanzo kama wakimbizi wakitangazwa kuwa wamiliki wapya kwa nguvu ya dhuluma. Huu ni mfano wa wazi kabisa wa jinsi wema ulivyolipwa kwa uonevu mkubwa.

Hitimisho
Uchambuzi wa kiweledi unatutaka tusiangalie tu mateso ya nyuma ya Wayahudi kama ngao ya kuhalalisha wanachokifanya sasa. Mateso ya jana hayatoi haki ya kumtesa mwingine leo. Ni dhahiri kuwa Wapalestina wanapitia dhuluma ya kimfumo inayonyima utu wao, na ni jukumu la jumuiya ya kimataifa kuangalia ukweli huu bila upendeleo wa kisiasa au itikadi za kidini.

Back
Top Bottom