Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Ukisikia mtu anadai yupo tayari watoto wote wafe , hata wanaozalia leo , utasema huyo mtu ana akili timamu?

Tembea ujionee mpaka mayahudi ombaomba yamejazana dunia nzima
Hiyo ni mitazamo yao binafsi wala shida kwakua hata ukiwasikiliza wapelestina kuhusu wayahudi nao wana mitazamo yao. Ni kama kama wewe mitazamo yako juu ya kuoa kaskazini ilivyo au mitazamo ya ccm kuhusu chadema and vice versa. Hiki ni kitu kila mtu atabaki kumshangaa na kutomwelewa mwenzake forever
 
Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi.

Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa wana akili chafu na mbovu, inashangaza sana wanao amini hilo eti ni taifa teule.

Hawa jamaa kiundani kabisa hawajulikani ila mitandao ya kijamii imekuja waumbua , ni tofauti kabisa na watu hasa jamii za Africa zinavyowafikiri walivyo

Hamzah saadah 👇View attachment 3675507
Mkuu hizo jamii mbili zinachukiana na zinashindwa kuelewana sababu kuu ni IMANI za dini

Wapo Waisraeli wengi sana kwenye social media wanafanya kama anavyofanya Hamza na ukifatilia utaona chuki mbaya sana ya wazi walionayo wapalestine dhidi ya waisraeli kama unavyo iona chuki hiyo ya wa israel dhidi ya wapalestine kupitia Hamza
 
Hiyo ni mitazamo yao binafsi wala shida kwakua hata ukiwasikiliza wapelestina kuhusu wayahudi nao wana mitazamo yao. Ni kama kama wewe mitazamo yako juu ya kuoa kaskazini ilivyo au mitazamo ya ccm kuhusu chadema and vice versa. Hiki ni kitu kila mtu atabaki kumshangaa na kutomwelewa mwenzake forever
Sio mtazamo wa kawaida kuna kikubwa sana wanawaogopa wa palestina, wao asilimia kuwa wapo kwenye mapenzi ya jinsia moja, fikira tu kidogo endapo palestina itapata amani, ukichimbua sana kwa undani hili jambo linawawazisha mno
 
Wayahudi wameteseka sana , kuna stori yao nilisoma mpaka nikawaonea huruma ..Kiufupi , hao jamaa wana insecurity , wanaishi kwa hofu sana . Wanayofanya ni matokeo ya waliyofanyiwa huko nyuma.
kuna jamii isiyoteseka kweli ?
 
Mkuu hizo jamii mbili zinachukiana na zinashindwa kuelewana sababu kuu ni IMANI za dini

Wapo Waisraeli wengi sana kwenye social media wanafanya kama anavyofanya Hamza na ukifatilia utaona chuki mbaya sana ya wazi walionayo wapalestine dhidi ya waisraeli kama unavyo iona chuki hiyo ya wa israel dhidi ya wapalestine kupitia Hamza
Hata wewe ungekua mpalestina uonevu wa namna ile usingekubali , hata kidogo.
 
Hiyo sio kuhusu imani , anahoji mitazamo ya wayahudi kuhusu palestina ,kwenye imani kuna majamaa yana amini hao ni wateule
Wayahudi wanaamini nini kuhusu Wapalestina mboni hujatoa hizo fununu vizuri? Ungeelezea hapa hata kwa uchache tu ili tuone ni kweli au wanasingiziwa tu, maana kwenye uongo pia chembechembe za ukweli zipo pia haziwezi kukosekana hata kidogo
 
Wayahudi wameteseka sana , kuna stori yao nilisoma mpaka nikawaonea huruma ..Kiufupi , hao jamaa wana insecurity , wanaishi kwa hofu sana . Wanayofanya ni matokeo ya waliyofanyiwa huko nyuma.
Siyo hofu bali ni uhaoisia kabisa!
Wakilemaa wanaondoka kabisa kwenye uso wa dunia, ndio maana huwa wakishusha kipigo kinakuwa kikali kwelikweli.

Waarabu hasa Iran wangekuwa na nukes wangeshawafuta kabisa
 
Kumbe siku hizi Iran nao ni waarabu mkuu?
 
Sio mtazamo wa kawaida kuna kikubwa sana wanawaogopa wa palestina, wao asilimia kuwa wapo kwenye mapenzi ya jinsia moja, fikira tu kidogo endapo palestina itapata amani, ukichimbua sana kwa undani hili jambo linawawazisha mno
Huo ndiyo ujinga uliomezeshwa Kama ni Makenzi ya jinsia moja waarabu ndiyo vibaraka tu Naona wanavyowafanyiwa wafanye kazi wa ndani huko uarabuni na walivyochafua Mikoa yote ya Pwani waarabu hao hao ndiyo waliouleta Afrika ujinga huo!!

Tatizo lako kubwa wewe umemezeshwa Chuki dhidi ya Wayahudi na waarabu na ndiyo maana ukiulizwa mambo mengine unashindwa kujibu unaambia watu waende Google maana hata wewe mwenyewe huyajui umemezeshwa tu!!
 
Kumbe siku hizi Iran nao ni waarabu mkuu?
Acha ujinga kutaka kukimbia au kuhamisha mada kwangu Mimi Wote waarabu na waajemi wote ni Wafuga Midevu na Majini tu.

Acha kurukaruka Kama Maharage jikoni jikite kwenye mada yako kuhusu Wayahudi!!!
 
Wayahudi wanaamini nini kuhusu Wapalestina mboni hujatoa hizo fununu vizuri? Ungeelezea hapa hata kwa uchache tu ili tuone ni kweli au wanasingiziwa tu, maana kwenye uongo pia chembechembe za ukweli zipo pia haziwezi kukosekana hata kidogo
Tatizo lake hamjui kitu hasa kuhusu wayahudi yeye kamezeshwa tu ujinga na waarabu!!
 
Vipi Epstein naye aliteseka??
Watu washenzi na wenye mipango ovu dhidi ya wanadamu ni Israel. I'm Christian and I'm not saying for religion point of view
Ukiingia kwenye post za jamaa upande wa comment section , utacheka sana , watu hawaamini wanachokiona , kuna mipaka poda ya kutosha mitoto ya yuda😁
 
Back
Top Bottom