Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Hiyo sio kuhusu imani , anahoji mitazamo ya wayahudi kuhusu palestina ,kwenye imani kuna majamaa yana amini hao ni wateule
Amebarikiwa aibarikiaye Israel na amelaaniwa ailaaniaye Israel kesi ya sungura na fisi unamuachia fisi aizungumzie mwenyew imekaaje hapo
 
Amebarikiwa aibarikiaye Israel na amelaaniwa ailaaniaye Israel kesi ya sungura na fisi unamuachia fisi aizungumzie mwenyew imekaaje hapo
Propaganda walokole kila siku Israel Israel ila ni hoe hae tu kajamba nani
 
Hakuna Binaadamu mwenye haki zaidi ya kuishi kuliko binaadamu mwingine. Binaadamu wote ni sawa.

Hawa wanajiona wao ni Bora, kuliko wengine. Lakini kiuhalisia wanabebeshana past traumas kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Mambo ya judea sjui Samaria yanasaidia nini, ikiwa tayari kulikuwa na wenyeji wanaishi pale, hata kama walikuwa wanatawaliwa na wakoloni.

Ni sawa uende mji wa MTU, umuambie atoke kisa miaka Mia iliyopita kulisadikika babu zake kuishi pale.

Na kingine wanachochanganya wengi, ni kusema kuwa hii migongano iliyopo sasa, chanzo ni dini. Wakati kiuhalisia Israel Wana project Yao wanahitaji kuifanikisha.
Aliyekuambia kuwa kuna binadamu mwenyewe haki zaidi ya mwingine Nani? Kwani waarabu waliyoyafanya Oct 07,2023 wao walikuwa na haki zaidi kuua wayahudi? Kama wewe unaona kuuwawa Wayahudi ni sawa na linapokuja suala la Israel kujibu mapigo wewe unaanza ku Play-victims huo utakuwa ujinga na Upumbavu wako tu

Oct 07,2023 mlishangilia sana wakati Magaidi walipokuwa wanaua watu huko Israel na Mimi sasa nawaomba muendelee tu kushangilia wakati Gaza ikigeuzwa kuwa vifusi!!

Kingine nakukumbusha Tu Hakuna kitu Kama nchi iliyokuwa inaitwa Palestina na wala haitatokea hili weka kichwani mwako Hilo eneo toka zamani lilikuwa linaitwa Judaea & Samaria na ukumbuke wayahudi wako hapo zaidi ya miaka 3,000 iliyopita!!!
 
Hujui hata kuwa technology imeongeza dhiki na ni end effect ya kutaka kushinda nature?

Hujui kuwa hawajamaa wanafanya vile kui dumb down dunia ili wapate kucontrol na kuendelea ujinga wao?
Wewe umefanya nini kuicontrol dunia? Hizi ni akili za kimasikini
 
Propaganda walokole kila siku Israel Israel ila ni hoe hae tu kajamba nani
Israel itabakia kuwa Taifa Teule mtake msitake!! Na lazima Mtanyooka tu
 
Attachments

  • IMG_4915.png
    IMG_4915.png
    729.7 KB · Views: 3
  • IMG_2800.jpeg
    IMG_2800.jpeg
    93.7 KB · Views: 8
  • IMG_0071.jpeg
    IMG_0071.jpeg
    148.3 KB · Views: 4
Mkuu lakini mbona hao jamaa wanachukiana?

Mwezi uliopita West Ham walisajili mchezaji kutoka Israel Manor Salomon. Tafuta hilo jina halafu fuatilia comments za "Upendo" kutoka kwa Pro-Palestines.

Niko against na CHUKI ya aina yoyote, niko against na Double Standard ya aina yoyote. Haijalishi wanagombania nini ila Waisrael wanaua wasio na hatia, Wapalestina wanaua pia wasio na hatia. Kwanini tuwachukie wa upande mmoja?
 
Nihakikishie wapi waisrael wameua wasio na hatia baadaye tuendelee!!
 
Mkuu lakini mbona hao jamaa wanachukiana?

Mwezi uliopita West Ham walisajili mchezaji kutoka Israel Manor Salomon. Tafuta hilo jina halafu fuatilia comments za "Upendo" kutoka kwa Pro-Palestines.

Niko against na CHUKI ya aina yoyote, niko against na Double Standard ya aina yoyote. Haijalishi wanagombania nini ila Waisrael wanaua wasio na hatia, Wapalestina wanaua pia wasio na hatia. Kwanini tuwachukie wa upande mmoja?
Ufaransa , Poland England , ujerumani na hata US kumekuwa na mlolongo wa matukio ya kuwapiga vita hawa jamaa , hata hapo mashariki ya kati wapo wayahudi asilia wanawapiga vita hao Ashkenaz
 
Mkuu

Niliwalenga wanao amini hao ni taifa teule na kuamini watu kutembea miaka 40.
Ukisoma historia ya dunia,zipo tabaka za jamii(waliokua na upeo) sanasana kutoka West europe hata ulaya zilifanya propaganda kwa wale (waliokua na upeo duni) -East urope kwamba wao ni Wateule wa Mungu..nafikiri nilisoma sehemu wahungary walitumia same propaganda kuitesa jamii flan ya east europe..so na conclude hakuna Uteule ni Propaganda Wajinga na wapumbavu Waafrika hatufikirii kwa utafiti wa kina
 
Ufaransa , Poland England , ujerumani na hata US kumekuwa na mlolongo wa matukio ya kuwapiga vita hawa jamaa , hata hapo mashariki ya kati wapo wayahudi asilia wanawapiga vita hao Ashkenaz
Wayahudi ni wale wale tu mnawabambikizia majina mengi Ili kuwagawia lakini wao ni walewale wala hawabaguani Kama mnavyowabagua ninyi Mmatumbi ni Mmatumbi tu hata Kama kutokea Kilwa!!!

Na ndiyo maana wameweza kushinda chuki zote zinazotokea kwenye nchi zenye wakimbizi haramu kutokea uarabuni!!! Tatizo ni Propaganda Uchwara zinazoenezwa na waarabu dhidi ya Israel. Waarabu wameshindwa kwenye medani za kivita sasa wameamua kuwatumia Waarabu-koko ili tu kusukuma mbele ajenda zao za Chuki dhidi ya Taifa Teule la Israel Najua unaumia sana kusikia hivyo !!
 
Nikuhakikishie tu ungekuwa unaishi kama ngedere porini maana technology nyingi wavumbuzi ni wao.
 
Propaganda walokole kila siku Israel Israel ila ni hoe hae tu kajamba nani
Propaganda za waarabu kujilizaliza na kusingizia mauaji ya Gaza huku Meiji Toa ufahamu na kufumbia macho mauaji yaliyofanywa na Magaidi wa Hamas Oct 07,2023
 
Zinanisaidia kujua fuvu lako limejaa tope na kinyesi
Endelea kutumiwa kama Condoms!!

Wayahudi wako juu tu hata kama ukitumiwa vibaya na waarabu hiyo haiwezi kuwarudisha nyuma na kipondo kwa magaidi kitaendelea bila shida yoyote!!

Kama tatizo kwako ni misaada omba tu na wewe. Ni nchi nyingi tu zinapata misaada je wana Teknolojia zaidi ya Israel?

Bumunda wewe nitakie nchi moja ambayo haipokei musaada kutoka nje. Maana najua hata nchi za Mabwana zako waarabu nao wanapokea misaada lakini wanapigwa kila Uchao!!
 
Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi.

Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa wana akili chafu na mbovu, inashangaza sana wanao amini hilo eti ni taifa teule.

Hawa jamaa kiundani kabisa hawajulikani ila mitandao ya kijamii imekuja waumbua , ni tofauti kabisa na watu hasa jamii za Africa zinavyowafikiri walivyo

Hamzah saadah 👇View attachment 3675507
Mtafute mwanahabari wa kunitegemea, Mrusi mwenye asili ya Israel anaitwa Andrey Ilyich Khrzhanovskiy au andreyX ili uone mambo wanayofanya magaidi wa kiyahudi dhidi ya Wa Palestine waishio West bank na Gaza
 
Wajinga na wapumbavu tu ndiyo watawatafuta wanaolipwa kwa ajili ya kulichafua Taifa teule la Israel!!

Na mkumbuke hao hawajaanza leo!!!

Walikuwepo akina Haman, Farao,Goliath na Herode na Hitler wote hao waliangukia Pua na taifa teule bado lipo mpaka leo!!
 
usiongee kama mtu aliyekatwa kichwa..Nimekupa jina la huyo mwandishi ambaye ni myahudi pia...tafuta videos zake huko youtube,facebook,tiktok,insta n.k utaona mambo yanayofanywa na magaidi wa kizayuni
 
usiongee kama mtu aliyekatwa kichwa..Nimekupa jina la huyo mwandishi ambaye ni myahudi pia...tafuta videos zake huko youtube,facebook,tiktok,insta n.k utaona mambo yanayofanywa na magaidi wa kizayuni
Mimi si Bumunda wa kufata mawazo ya mtu mwenye Mihemko binafsi bila kufuata Historia husika huyo atawaokota wajinga na wapumbavu tu ambao wakija hapa na video zao za michongo tutawauliza najua hawataweza kutujibu!!

Hata wewe nenda kalete hizo video zake tukuulize maswali tuone kama utatujibu.

Huko Judea & Samaria kuna magaidi kila siku wanauliwa na silaha zao zinaonyeshwa harafu linatokea Liarabu-koko linatetea ujinga!!
 
Back
Top Bottom