LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Hiyo ni mitazamo yao binafsi wala shida kwakua hata ukiwasikiliza wapelestina kuhusu wayahudi nao wana mitazamo yao. Ni kama kama wewe mitazamo yako juu ya kuoa kaskazini ilivyo au mitazamo ya ccm kuhusu chadema and vice versa. Hiki ni kitu kila mtu atabaki kumshangaa na kutomwelewa mwenzake foreverUkisikia mtu anadai yupo tayari watoto wote wafe , hata wanaozalia leo , utasema huyo mtu ana akili timamu?
Tembea ujionee mpaka mayahudi ombaomba yamejazana dunia nzima
Wajinga tu na wapumbavu Kama wewe watasikiliza Uharo huo!!Ingia wasikilize raia wana maoni gani
Mkuu hizo jamii mbili zinachukiana na zinashindwa kuelewana sababu kuu ni IMANI za diniUkitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi.
Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa wana akili chafu na mbovu, inashangaza sana wanao amini hilo eti ni taifa teule.
Hawa jamaa kiundani kabisa hawajulikani ila mitandao ya kijamii imekuja waumbua , ni tofauti kabisa na watu hasa jamii za Africa zinavyowafikiri walivyo
Hamzah saadah 👇View attachment 3675507
Sio mtazamo wa kawaida kuna kikubwa sana wanawaogopa wa palestina, wao asilimia kuwa wapo kwenye mapenzi ya jinsia moja, fikira tu kidogo endapo palestina itapata amani, ukichimbua sana kwa undani hili jambo linawawazisha mnoHiyo ni mitazamo yao binafsi wala shida kwakua hata ukiwasikiliza wapelestina kuhusu wayahudi nao wana mitazamo yao. Ni kama kama wewe mitazamo yako juu ya kuoa kaskazini ilivyo au mitazamo ya ccm kuhusu chadema and vice versa. Hiki ni kitu kila mtu atabaki kumshangaa na kutomwelewa mwenzake forever
Umeulizwa vizuri wewe mwenyewe umeshindwa ku jibu Una mwambie Gugo imeonyesha wazi ulivyo mjinga na ulivyo karirishwa Upumbavu na waarabu wako!!!Gugo
kuna jamii isiyoteseka kweli ?Wayahudi wameteseka sana , kuna stori yao nilisoma mpaka nikawaonea huruma ..Kiufupi , hao jamaa wana insecurity , wanaishi kwa hofu sana . Wanayofanya ni matokeo ya waliyofanyiwa huko nyuma.
Hata wewe ungekua mpalestina uonevu wa namna ile usingekubali , hata kidogo.Mkuu hizo jamii mbili zinachukiana na zinashindwa kuelewana sababu kuu ni IMANI za dini
Wapo Waisraeli wengi sana kwenye social media wanafanya kama anavyofanya Hamza na ukifatilia utaona chuki mbaya sana ya wazi walionayo wapalestine dhidi ya waisraeli kama unavyo iona chuki hiyo ya wa israel dhidi ya wapalestine kupitia Hamza
Wayahudi wanaamini nini kuhusu Wapalestina mboni hujatoa hizo fununu vizuri? Ungeelezea hapa hata kwa uchache tu ili tuone ni kweli au wanasingiziwa tu, maana kwenye uongo pia chembechembe za ukweli zipo pia haziwezi kukosekana hata kidogoHiyo sio kuhusu imani , anahoji mitazamo ya wayahudi kuhusu palestina ,kwenye imani kuna majamaa yana amini hao ni wateule
Siyo hofu bali ni uhaoisia kabisa!Wayahudi wameteseka sana , kuna stori yao nilisoma mpaka nikawaonea huruma ..Kiufupi , hao jamaa wana insecurity , wanaishi kwa hofu sana . Wanayofanya ni matokeo ya waliyofanyiwa huko nyuma.
Kumbe siku hizi Iran nao ni waarabu mkuu?Siyo hofu bali ni uhaoisia kabisa!
Wakilemaa wanaondoka kabisa kwenye uso wa dunia, ndio maana huwa wakishusha kipigo kinakuwa kikali kwelikweli.
Waarabu hasa Iran wangekuwa na nukes wangeshawafuta kabisa
Huo ndiyo ujinga uliomezeshwa Kama ni Makenzi ya jinsia moja waarabu ndiyo vibaraka tu Naona wanavyowafanyiwa wafanye kazi wa ndani huko uarabuni na walivyochafua Mikoa yote ya Pwani waarabu hao hao ndiyo waliouleta Afrika ujinga huo!!Sio mtazamo wa kawaida kuna kikubwa sana wanawaogopa wa palestina, wao asilimia kuwa wapo kwenye mapenzi ya jinsia moja, fikira tu kidogo endapo palestina itapata amani, ukichimbua sana kwa undani hili jambo linawawazisha mno
Acha ujinga kutaka kukimbia au kuhamisha mada kwangu Mimi Wote waarabu na waajemi wote ni Wafuga Midevu na Majini tu.Kumbe siku hizi Iran nao ni waarabu mkuu?
Ndivyo mnavyodanganyana na Sheikhe Mwaipopo?Sio kweli, wapo wayahudi kibao Iraq, Syria Lebanon Jordan wala hakuna mwarabu mwenye shida nao
Akikujibu nijulishe nami nione majibu yake!!kuna jamii isiyoteseka kweli ?
Hao wameteseka kweli sio utanikuna jamii isiyoteseka kweli ?
Tatizo lake hamjui kitu hasa kuhusu wayahudi yeye kamezeshwa tu ujinga na waarabu!!Wayahudi wanaamini nini kuhusu Wapalestina mboni hujatoa hizo fununu vizuri? Ungeelezea hapa hata kwa uchache tu ili tuone ni kweli au wanasingiziwa tu, maana kwenye uongo pia chembechembe za ukweli zipo pia haziwezi kukosekana hata kidogo
Ukiingia kwenye post za jamaa upande wa comment section , utacheka sana , watu hawaamini wanachokiona , kuna mipaka poda ya kutosha mitoto ya yuda😁Vipi Epstein naye aliteseka??
Watu washenzi na wenye mipango ovu dhidi ya wanadamu ni Israel. I'm Christian and I'm not saying for religion point of view