sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yesu alifufuka jumapili kwa ushahid upi kibiblia?Jumapili tunasheherekea ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo
Sabath ni siku ya jumamosiHakuna sehemu yoyote ktk biblia iliposema sabato ni jumamosi ambayo mnaitumia leo hii kusema ni siku ya sabato.
Biblia ilisema siku ya 7, ikimaanisha siku yoyote unaweza kuifanya ya 7 tangu kuanza kwa majukumu yako ndani ya siku 6 na inayofuata uifanye sabato,na siku hiyo inaweza kuwa juma lolote lile iwe jumapili,juma3, j4 whatever.
Nyie wasabato na hao nduguzenu wayahudi wa uongo hapo palestina mnawezaje kuyakataa mafundisho ya mroma ilihali baada ya yeye mrumi kubadiri kalenda iliyotumiwa zaman akaleta mpya bado mnaifuata?.
Mujue kuwa kabla ya kubadiri kalenda, siku ya 7 haikuwa jumamosi wala jumapili, sasa nyie vilaza mnafuata mafundisho ya nani?.
Tumieni akili basi dini mmeletewa zikiwa na ukakasi badala mzichunguze nyie mnaziamini bila kuhoji, mtazidi kufarakana mpaka mwisho, maana mnaamini nje ya ukweli.
Hizi story huwa zinasikikq sana kwenye vikanisa vya mitume na manabii laghai.Sabato inayofuata matendo ya mwilini ilipitwa na wakati wake ikaja sabato ya rohoni. Agano la kale na agano jipya pambanua hapo. Ukisema ni warumi ndio walioanzisha sabato jumapili na ikapokelewa hivyo mpaka leo itakuwa haina maana kwani sabato ya sasa haiangalii siku
vikanisa vya mitume gani? Kanisa ni la Yesu. Kanisa ni moja tu lenye watenda kazi wengi, hao wote ni wafuasi wa Yesu wanaihubiri injili, ila ole wake atakayeihubiri injili fekiHizi story huwa zinasikikq sana kwenye vikanisa vya mitume na manabii laghai.
Injili ni habari njema. Mapokeo haya ya kupindua maandiko ni habari feki. Paulo mwenyewe akiwa ulaya na waongofu wapya wasio wayahudi aliwapeleka kando ya mto suku ya Sabato wasali.vikanisa vya mitume gani? Kanisa ni la Yesu. Kanisa ni moja tu lenye watenda kazi wengi, hao wote ni wafuasi wa Yesu wanaihubiri injili, ila ole wake atakayeihubiri injili feki
Hakuna sehemu yoyote ktk biblia iliposema sabato ni jumamosi ambayo mnaitumia leo hii kusema ni siku ya sabato.
Biblia ilisema siku ya 7, ikimaanisha siku yoyote unaweza kuifanya ya 7 tangu kuanza kwa majukumu yako ndani ya siku 6 na inayofuata uifanye sabato,na siku hiyo inaweza kuwa juma lolote lile iwe jumapili,juma3, j4 whatever.
Nyie wasabato na hao nduguzenu wayahudi wa uongo hapo palestina mnawezaje kuyakataa mafundisho ya mroma ilihali baada ya yeye mrumi kubadiri kalenda iliyotumiwa zaman akaleta mpya bado mnaifuata?.
Mujue kuwa kabla ya kubadiri kalenda, siku ya 7 haikuwa jumamosi wala jumapili, sasa nyie vilaza mnafuata mafundisho ya nani?.
Tumieni akili basi dini mmeletewa zikiwa na ukakasi badala mzichunguze nyie mnaziamini bila kuhoji, mtazidi kufarakana mpaka mwisho, maana mnaamini nje ya ukweli.
Sabath ni siku ya jumamosi
Full stop na ndio ukweli huoSabath ni siku ya jumamosi
Upo sahihi kabisa mkuu.Mtoa mada una logic. Ni sahihi kabisa kuhoji je, ni wapi kwenye vitabu vya dini pameandikwa siku ya sabato ni Jumamosi? Majira na miaka hiyo hakukuwa na majina ya siku, hakukuwa Jumatatu, Jumanne,......Jumapili. Majina ya siku na mambo ya kalenda tunazotumia siku hizi yaliletwa na Roma miaka ya baadaye kabisa! Na zuri au baya zaidi wasabato wanasema kuwa wanafuata kila lililoandikwa kwenye biblia, kakini kwenye biblia hakuna siku imeandikwa sabato ni Jumamosi, bali siku ya saba! Siku ya saba inaitwaje maana kila siku ni siku ya saba kulingana na mtu alianzia siku gani kuhesabu!
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako
Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali tuzungumzie siku ya kuabudu.
Fanya kazi siku sita, ya saba kipaumbele kiwe kuabudu na kupumzika.
Kwa wasabato hata wa hapa kwetu ni wengi wenye biashara huwa hawagungui jumamosi, lakini pia hata ukienda Israel huwezi kukuta maduka yamefunguliwa siku ya jumamosi wanayoiita shabaat
Ilikuwaje ikabadilishwa kuwa jumapili ?
Ikumbuke SIKU ya sabato na uitakase, how comes unasema sabato Haina siku?Sabato inayofuata matendo ya mwilini ilipitwa na wakati wake ikaja sabato ya rohoni. Agano la kale na agano jipya pambanua hapo. Ukisema ni warumi ndio walioanzisha sabato jumapili na ikapokelewa hivyo mpaka leo itakuwa haina maana kwani sabato ya sasa haiangalii siku
Ni sahihi kabsa kila mtu ahabudu siku yake kwa sababu mambo yote yametengenezwa na binadamu tu .
Hata wewe unauwezo wakubuni siku yako na Mungu wako kulingana na wazo lako tu.