Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Katika kila lugha kuna maneno hayaendani na kanuni fulani na hufahamika kwa wema kwa namna yake hiyo.Ukijaribu kuyarudisha katika kanuni ya kawaida kwenye mtihani unapewa sifuri.Ukisoma lugha ya kiarabu utaelewa kwa ufasaha habari hizi.Kwenye Kiswahili ipo mifano mingi ya aina hiyo. Ukisema muhogo ni mzuri maana itakuwa ni sawa na mihogo ni mizuri. Ukisema walafi utaeleweka unakusudia mtu mroho lakini ukisema milafi itaeleweka ni waroho waliopitiliza,wanachukua kinachowatosha na na nyongeza wasioihitaji ,hata ikiharibika na kwamba wengine watakosa hawajali.Hivi mtu akisema
Wakristo..
Na akisema Mikristo utaelewa nini? .
Hakuna sehem qurain imekaririsha jambo hilo.
Wanapotajwa kwa ubaya ndy huitwa mayahudi.
Miyahudi.
Wakitajwa kwa wema huitwa ,
--wayahudi.
--Myahudi.
Mfano
--Mwizi.
--Majizi.
--Mijizi.
Yote ktk kutaja jambo kwa ubaya.