gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
Quran 14:4 plz ipitie siwez kuiandika n ndefu ina jibu lakoSasa ukajuaje injili ilishuka kiebrania ndo swali langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quran 14:4 plz ipitie siwez kuiandika n ndefu ina jibu lakoSasa ukajuaje injili ilishuka kiebrania ndo swali langu
"And this (Quran) is a blessed book which we have revealed, confirming that which was (revealed) before it, so that you (O prophet) may warn the mother of the cities (Makkah) and those around her." (6:92)sorry ni 12:2
Still sio proof kuwa injili ilikuwa kiebrania?Maana yesu aliongea kiaramaic.Quran 14:4 plz ipitie siwez kuiandika n ndefu ina jibu lako
"And this (Quran) is a blessed book which we have revealed, confirming that which was (revealed) before it, so that you (O prophet) may warn the mother of the cities (Makkah) and those around her." (6:92)
"And thus we have revealed to you an Arabic Quran, so that you may warn the mother of the cities (Makkah) and those around her." (42:7)
Mohammed) You are only a Warner and for every nation there is a guide." (13:7)
And we have sent no messenger but with the language of his people, that he might make (the message) clear for them." (14:4)
Still sio proof kuwa injili ilikuwa kiebrania?Maana yesu aliongea kiaramaic.
kwa hyo quran ilishushwa kwa kiarabu kwaajili ya waarabu wa mecca na vihunga vyake na kila taifa lia mtume wake hivo waarabu walipewa muhammad...Ndomaana tunasema uislam ni uarabusasa umeona ni kua mtume lugaha yake ni kiarabu na watu wanaozunguka ni waarabu ikishuka Quran ya kizungu hapo kazi inakua ngumu ya kufikisha meseji
turudi hapo 14:4 ni kua kila mtume alitumwa kwa lugha anayoilewa yeye na watu wanaokusudiwa ujumbe hivyo YEsu alikua akizungumza aramaic ndio lugha mama yake hivyo na Injili ikashuka kwa lugha hio. japo alielewa na hebrew but ilishuka kwa lugha nyepesi kwake
kwahyo sasa nikitaka kuisoma injili naipata wapi?nilimaanisha hicho hicho sema nilichanganya tu
Ukiachana na mada yako. Kwanin unawaita mayahudi badala ya wayahudi?
Hiyo ni dharau unawaona binadamu wenzako kama mambwa yani!
Sio hivyo bali Qur'an ilishushwa ili iwe ni rehma kwa walimwengu wote kwa vile Mtume Muhammad s.a.w alikuwa ni kwa ajili ya ulimwengu wote wakiwemo majini na wanyama.Lazima iwe hivyo kwani alitumwa na bwana na mtawala wa Ulimwengu mzima duniani na mbinguni.Qur'an inasemakwa hyo quran ilishushwa kwa kiarabu kwaajili ya waarabu wa mecca na vihunga vyake na kila taifa lia mtume wake hivo waarabu walipewa muhammad...Ndomaana tunasema uislam ni uarabu
Sasa huoni hapo tayari mungu wenu wanajipinga...wanaposema kila taifa lina nabii wake na quran imekuja kiarabu kwaajili ya watu wa mecca na viunga vyale halafu hapohapo mungu wenu wanasema walimtuma muhamad awe rehema kwa walimwengu..(although hawajasema kwa walimwengu wote ..Huenda walimaanisha walimwengu wa mecca)Sio hivyo bali Qur'an ilishushwa ili iwe ni rehma kwa walimwengu wote kwa vile Mtume Muhammad s.a.w alikuwa ni kwa ajili ya ulimwengu wote wakiwemo majini na wanyama.Lazima iwe hivyo kwani alitumwa na bwana na mtawala wa Ulimwengu mzima duniani na mbinguni.Qur'an inasema
وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلا رَحْمَةً لِّلْعَالَمِينَ“Na hatukukutuma (hatukukuleta) ila uwe rehema kwa walimwengu.” Surat Anbiyaai :107
Ikitajwa walimwengu kwa kiarabu العالمين ina maana ya watu na viumbe wengine ,wanyama ,wadudu ,majini na hata miti na si hapa duniani tu bali hata nje ya dunia. Lakini ukitaka uone kwa watu wote pia utaipata kwenye Qur'an kwenye aya ya 28 sutat Sabai.Sasa huoni hapo tayari mungu wenu wanajipinga...wanaposema kila taifa lina nabii wake na quran imekuja kiarabu kwaajili ya watu wa mecca na viunga vyale halafu hapohapo mungu wenu wanasema walimtuma muhamad awe rehema kwa walimwengu..(although hawajasema kwa walimwengu wote ..Huenda walimaanisha walimwengu wa mecca)
Wewe kina mungu wenu walisema Quran wameishusha kwa kiarabu kwa ajili ya watu wa mecca sasa mimi nani niwapinge?Ikitajwa walimwengu kwa kiarabu العالمين ina maana ya watu na viumbe wengine ,wanyama ,wadudu ,majini na hata miti na si hapa duniani tu bali hata nje ya dunia. Lakini ukitaka uone kwa watu wote pia utaipata kwenye Qur'an kwenye aya ya 28 sutat Sabai.
وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلَّا كَافَّةً لِّلنَّاسِ بَشِيرًا وَنَذِيرًا وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لَا يَعْلَمُونَNa hatukukutuma ila kwa watu wote, uwe mbashiri, na mwonyaji. Lakini watu wengi hawajui.
Ikisemwa hivyo Makka na Madina ni padogo sana.Hata aya yenyewe imo kwenye sura iliyomtaja malkia Bilgis wa maeneo ya Yemen.Hii aya ukiwa ni binadamu hata ukihama ukaenda Mars itakuhusu pamoja na wale utakaokutana nao huko
Zile aya zilizotaja kila watu na Mtume wao ziikuwa zinazungumzia historia ya kabla ya kuteremka kwa Qur'an na kuja kwa Mtume Muhammada rehma na amani zimshukie.
Maswali yako mepesi na majibu mazito unayopewa ukayakataa unatia huruma,Wewe kina mungu wenu walisema Quran wameishusha kwa kiarabu kwa ajili ya watu wa mecca sasa mimi nani niwapinge?
Kwani shuleni mwalimu akitangaza watu wote waende darasani inamaana hadi walio Marekani,India mpaka mwezini Waje shule hiyo kuingia darasani?
Waislamu wa kweli na wa Uongo. BffWatawachezea hao hao WAARABU lakini waislamu wa kweli wa IRAN kamwe hawatayumbishwa na mwanadamu yeyote yule.
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Umeanza ukanjanja!Watu mnachanganya JEWS na ZIONISTS
Hawa ni watu wawili tofauti Sana.
JEWS hawana shida hata pale Ethiopia wapo ni jamii kama ukisema Somali, Zulu etc.
Tatizo lipo kwa Hawa ZIONIST Hawa ndo Wana run dunia, wazee wa 666,wauaji na Hawa ndo IRAN IPO against nawo.
Inawapinga kwa kila njia.
Na ukitaka kuwa ZIONIST sio lazima uwe JEWS kwani wapo wengi mazionist ambao sio JEWS.
Kwa MBS na NetanyahuKwa nani.
Middle east yote ina wayahud chief. Tena wa asili. Kuna wanaokubali kurud na kuna wanaokataa. Hata iran kuna wanaorudig lakin kuna wanaokataa. Yemen ndio ilikuwa na wengi tu na wamerud wengi tu ila bado wapo mabaki. So usidanganyike wote walirud.Iran haiwachukii wayahudi,,actually mataifa yote ya kiarabu yaliwafukuza wayahudi mara baada ya vita vya pili vya dunia,,iran haikufukuza wayahudi moaka leo kuna wayahudi wa iran,,
Mwaka fulani israel ilitoa offer ya dola 10,000 kwa kila myahudi wa iran atakaekubali kurudi israel,,waligoma.
Mpaka leo kuna hadi masinagogi ndani ya iran..