na Mtume alikua ni Mtu tu kama ka wengine sema alichaguliwa na Mola kwa ajili ya misheni ya dini.. sema tofaut yake na watu wengine hakuwahi kua na upuuzi wala kupoteza muda miaka 23 ya utume wake alikua on point tu ndio maana kaacha dini imara ambayo ni changamoto kwa ulimwengu wa sasa hasa mataifa ya kimagharibi wanaotaka kuzuia but hawajui kitu imesukwa kwa sacrifice mpaka damu saivi wao ndio wanaunga tu juhudi wazungu kibao wameiona haki na kuifuata na kwa kila anae reason Basi Islam ndio dini pekee katka huu ulimwengu iliyo perfect..