Wayahudi wanavyojipenyeza wizara za elimu duniani kufuta kutajwa vibaya

Wayahudi wanavyojipenyeza wizara za elimu duniani kufuta kutajwa vibaya

Dah yani maneno laki point zero..
.Muhammad aliihifadhije Quran?
Aliikariri yote au?
alikariri yote bila kusoma wala kurudiarudia kama watu wanavyofanya ili waweze kukariri...yeye alikua akisomewa na Jibril AS Basi imetoka hio mpaka kikao kingine tena anasomewa nyingine
 
Dah yani maneno laki point zero..
.Muhammad aliihifadhije Quran?
Aliikariri yote au?

Hapo kabla alikuwa akihifadhi mwenyewe jambo ambalo lilikuwa likimshughulisha sana, ila Allah akamuondolea hali hiyo akawa akisomewa tu imekaa, hakupata shida tena ya kuhifadhi.
 
kwahio elimu ni kujua kusoma na kuandika? elimu zipo nyingi katka dunia hii... but case ya Muhammad SAW ni tofauti hakutakiwa kujua kusoma wala kuandika maana walianza kuzusha katunga Quran. swali linakuja katungaje asie jua kusoma wala kuandika so hio ilikua protection ya Quran dhid ya iman..
kwan kutunga mashairi mpaka ujue kusoma na kuandika?kama unajua tu kuongea unaweza kutunga mashairi na ngonjera za Quran
 
alikariri yote bila kusoma wala kurudiarudia kama watu wanavyofanya ili waweze kukariri...yeye alikua akisomewa na Jibril AS Basi imetoka hio mpaka kikao kingine tena anasomewa nyingine
kwahyo akikariri hasahau?
 
lakini huwezi kuhifadhi kwa kikao kimoja lazima uandike ushike karatasi uanze kuiiimba mpaka itakaaa kichwani

lakini kwa Mtume hakukua na habari hizo yeye akisomewa hapo basi ndio mpaka kiama hakuna kurudia rudia inakuaimesha kaa kichwani. kuna tofauti hapo kwa mwenye kuelewa amenielewa
kwan kutunga mashairi mpaka ujue kusoma na kuandika?kama unajua tu kuongea unaweza kutunga mashairi na ngonjera za Quran
 
lakini huwezi kuhifadhi kwa kikao kimoja lazima uandike ushike karatasi uanze kuiiimba mpaka itakaaa kichwani

lakini kwa Mtume hakukua na habari hizo yeye akisomewa hapo basi ndio mpaka kiama hakuna kurudia rudia inakuaimesha kaa kichwani. kuna tofauti hapo kwa mwenye kuelewa amenielewa
Lil wayne ana mimbo zaidi ya 1000 na hajawahi kukaa kuiandika chini...anatunga kichwani anaomba beat anaflow
 
mtume hakuwahi kusahau kwani Mungu alimuumba hivyo ila kwa ishu ambayo Mungu mwenyew alitaka asahau kwa faida yake
😆😆Eti hakuwahi kusahau ila alisahau kwa faida ya mungu...Huko ndo kusahau kwenyewe sasa..Yeye amsingizie shetani,Mungu,Magufuli sisi tunajua alisahau...Sema followers wake walikuwa makima hata akiwaambia nimesahau kwa uwezo wa Mungu wanasema huo ni muujiza Allahu akbar
 
jamaa anaenda studio anasikiliza beat anaingiza mashairi kwa motive ya beat hata mimi kuna nyimbo za zamani nazikumbuka but sio kwa mara moja mpaka nikae nasikiliza zaidi ya mara moja hakuna binadamu anaweza somewa mara moja kurasa zaidi ya 10 tu bila kurudia akashika never
Usibishe Fanya Research mdogo angu,,Google hata does lil wayne write his lyrics...Mi mwenyewe nna uwezo wa kutunga nyimbo kichwani na nikaikariri mwanzo mwisho
 
Na Yesu na wengine.
Mkuu utumie mantiki kidogo. Yesu hakulaani "Wayahudi". alikuwa Myahudi mwenyewe.
Pia inadhuru nini kama watu fulani waliwahi kulaaniwa? Wakristo walilaaniwa, Waislamu walilaaniwa - nani duniani hakulaaniwa wakati fulani na watu fulani ???
 
jamaa anaenda studio anasikiliza beat anaingiza mashairi kwa motive ya beat hata mimi kuna nyimbo za zamani nazikumbuka but sio kwa mara moja mpaka nikae nasikiliza zaidi ya mara moja hakuna binadamu anaweza somewa mara moja kurasa zaidi ya 10 tu bila kurudia akashika never
Nitajie kurasa 10 za quran zilizoshuka kwa pamoja
 
Napendekeza tuache Tuzo ya Amani kando. Maana swali ni nani anayechangia amani ni swali la kifalsafa au kisiasa . Kama walimteua Arafat au Obama au sijui nani.
Ila Tuzo za Kisayansi (Fizikia, Kemia, Tiba) - je una mfano kuna "wapumbavu" waliopokea tuzo hizo? Naomba mifano yako, tusijadili hewani.
Nilitaja hapo juu majina ya wenye Tuzo ya Tiba waliokuwa Wayahudi. Nasisitiza kila unapoingia hospitalini unapata faida ya michango yao.
Ukipinga: tafadhali lete majina na mifano!
Kwa bahati unajadiliana na mtu ambaye sio kama yule Laila ila ....
Umesema tuache habari za tuzo za Nobel na haikuwezekana tumerudi kule kule. Na mimi nililposema Nobel Nyengine zinatlewa kirushwa na hata kwa wapumbavu sikubainisha kuwa ni zile za kisayansi au za nyanja nyengine kama za akina Obama. Kama umepata picha kuwa hizo zawadi za Nobel si jambo kubwa katika dunia na zinaweza kutolewa kwa malengo kama nilivyosema hapo juu. Sasa usishikilie kuwa hizo Nobel za wanasayansi kama ni wa kiyahudi au wengineo ndizo safi na tukufu sana. Mimi hizi nazo pia hazinishtui.Najua wengi wanaopewa hawastahiki kupewa sifa na kutukuzwa mpaka tukamsahau Mwenyezi Mungu.
Aliyepewa zawadi ya Nobel atakuwaje mtu wa maana iwapo katika hicho alichokiona hakumtaja Mungu hata nukta moja kama kwamba yeye ndiye aliyekiumba.
Nani katika binadamu atakayejichukulia sifa kwa kujua namna electron na chembechembe nyingi zisizoonekanaa zinavyojipanga na kupita maeneo yasiyoonekana na kusababisha mabadiliko yanawafaa watu na bila kumtaja Mwenyezi Mungu. Hicho alichokiona Einstein mbinguni alichangia nini kukipa mpangilio na athari zake.Wavumbuzi wa namna hii ndio binadamu wanawapa sifa na wako wanaowadharau waislamu eti hawaoni vitu kama hivyo na kujaribu kutoa picha kuwa ni milki ya wayahudi na wakristo,
Waislamu wavumbuzi wakubwa hawapati zawadi kama hizo ilhali wao wangepaswa sifa hizo kwa haki kabisa kwa vile wakivumbua huwa wanamtaja Mwenyezi Mungu katika uvumbuzi huo.
Lil wayne ana mimbo zaidi ya 1000 na hajawahi kukaa kuiandika chini...anatunga kichwani anaomba beat anaflow
Hata na wewe pia tangu uzaliwe umetamka maneno mangapi .Mbali ya kuwa mengi yamesahaulika na uliozungumza nao na hata mwenyewe hukumbuki pia mengi ya matamshi yako ni upuuzi mtupu.Tukitafuta maana tutapata faida kidogo sana. Angalia kwa upande wa Qur'an sehemu kubwa ni yale ambayo bado watu wanaotafuta Nobel watakuja kuongozwa kuyajua huko mbele tuendako. Jee hujapata picha tu kuwa haya si maneno ya binadamu.
 
Mkuu utumie mantiki kidogo. Yesu hakulaani "Wayahudi". alikuwa Myahudi mwenyewe.
Pia inadhuru nini kama watu fulani waliwahi kulaaniwa? Wakristo walilaaniwa, Waislamu walilaaniwa - nani duniani hakulaaniwa wakati fulani na watu fulani ???
Mantiki naitumiaje hapo ? Embu nielekeze.

Pili, nakupa miaka mia ukiweza kuthibitisha ya kuwa Yesu alikuwa Myahudi, na mi nitakuwa Myahudi.

Tatu, laana hufika mpaka kwa wale wote watakao pita njia za wale walio laaniwa. Unajua nini maana ya laana mpaka, uhoji inadhuru nini ? Au kama ulivyo hoji ?
 
Quran 87: 7 Tutakusomesha hutasahau

8 iLa akipenda Mwenyezi Mungu Hakika yeye anayajua yaliyo jahara na yaliyifichika

9. Tutakusomesha hutasahau
[emoji38][emoji38]Eti hakuwahi kusahau ila alisahau kwa faida ya mungu...Huko ndo kusahau kwenyewe sasa..Yeye amsingizie shetani,Mungu,Magufuli sisi tunajua alisahau...Sema followers wake walikuwa makima hata akiwaambia nimesahau kwa uwezo wa Mungu wanasema huo ni muujiza Allahu akbar
 
Hata na wewe pia tangu uzaliwe umetamka maneno mangapi .Mbali ya kuwa mengi yamesahaulika na uliozungumza nao na hata mwenyewe hukumbuki pia mengi ya matamshi yako ni upuuzi mtupu.Tukitafuta maana tutapata faida kidogo sana. Angalia kwa upande wa Qur'an sehemu kubwa ni yale ambayo bado watu wanaotafuta Nobel watakuja kuongozwa kuyajua huko mbele tuendako. Jee hujapata picha tu kuwa haya si maneno ya binadamu.
Kwasababu sijapata kundi la kondoo wa kukariri maneno yangu.....Kwanza maana ya Alif lam mim kwenye Quran ni nini?
 
Wapuuzi sana hawa na sijui kwa nini Dunia uwachukulia as if wanaonewa, sijui nini? Wana-take advantage ya kudai eti waliuwawa million sita wakati wa WW2 na hakuna aliye wahi kulidhibitisha hilo, Warusi walikufa million ishirini wakati wa WW2 lakini hilo uwa alisemwi wanakazania la Wayahudi tu as if raia na askari walipoteza maisha Duniani during WW2 wakiwemo askari kutoka barani Afrika hao si kitu.Wanapora aridhi Waarabu (Palestina) wanazikalia kimabavu wana wasomba Waethiopia wenye asili ya kiyahudi kwenda kuishi kwenye aridhi waliyo pora waarabu na Dunia imekaa kimya.

Wayahudi - wanachukulia umiliki wao mkubwa wa vyombo vya habari (MSM) Duniani pamoja na umilikaji wa vyombo vikubwa vya fedha Duniani wanavitumia kuendeleza propaganda zao za uongo na kweli, ndio wali-finance WW1 na WW2, kwao vita ndio wakati mzuri wa kuvuna fedha - ndio mpaka sasa wanachochea sana pawepo WW3 aidha kwa Amerika kuivamia/shambulia kijeshi Iran au US kupigana vita na Urusi au Uchina - Natenyahu na gege lake wanashabikia sana kuwepo kwa WW3 ndio maana alikuwa haelewani na Barak Obama.
Sifa nyengine ya mayahudi ni kupenda kusifiwa na kujifakharisha hata kwa mafanikio madogo madogo.Twaweza kusema wala hawajui kula na kipofu.Mafanikio wanayotarajia kuyapata mwaka ujao wanaweza kuanza kuyatangaza leo ili kuwahi kusifiwa.Hivyo hata zawadi za Nobel zinazotelewa kwa mayahudi ni vyema zikaja kuchunguzwa tena hapo baadae kile kilichokuwemo kwenye nadharia hiyo na mkakati wa kutolewa.
 
Quran 87: 7 Tutakusomesha hutasahau

8 iLa akipenda Mwenyezi Mungu Hakika yeye anayajua yaliyo jahara na yaliyifichika

9. Tutakusomesha hutasahau
Sasa hii inaprove nini? kama alisahau iwe kwa mapenzi yake,ya mungu ya shetani ya Aisha mimi nachojua alisahau..
 
Back
Top Bottom