Wayahudi wazidi kuishangaza dunia, watengeneza gari linalotumia maji badala ya mafuta

Kwenye hili maua apewe yule mkenya ambaye walikuja kumuua.. Huyo ndio mwenye original version
 
Kuna mu IRAN mmoja aliwahi kugundua gari linalotumia maji. Muda mchache baada ya ugunduzi wake alikutwa amejiuwa huku akiwa na multiple bullets injuries in his back........ It was a murder not suicide case
Wakati tunasoma Kemia tulikuwa tunajiuliza why hydrogen ya kwenye maji isiwe decomposed na ikatumika kama nishati? Jibu lilikuwa kuvunja bond kati ya oxygen na hydrogen unatumia nguvu kubwa kuliko utakacho kipata. Hivyo reasoning
Ikaishia hapa. Tukaamini haiwezekani
 
Inasadikika kule Israel kuna baadhi ya watu ni malaika waliovaa mwili ndo mana kuna Gunduzi ambazo lazima ujiulize kwamba uyu sio binadamu wa kawaida.
 
Bora hilo,juzi nimeona huko simiyu NGO moja imejitolea kuwafadhili wanaume wa huo mkoa kutahiriwa bure.
Nchi nyingi za kiafrika hasa yale makabila ambayo kutahiri sio utamaduni wao kama familia ni maskini mtoto anabaki hivyohivyo hadi ukubwani atakapojitambua.
 
Huu utaalamu jamaa wameupata kutoka Sumbawanga.
 
Haufikirii Wachina na magari hao ya Umeme?
Hujaeleweka

Mchina ana teknolojia zote unazijua Duniani kasoro kwenye issue ya Bundle tu ndio wanategemea ISP ya Marekani na baadhi ya IT Technology...vingine vyote Mchina anatoa Copy na anauza kwenye Mabara yote kulingana na hali ya uchumi ya bara husika

Bado analima mchele haswaa na ndio chakula chao pendwa

So Mchina mtoe hapo
 
Hii habari ni ya zaidi ya miaka 5 iliyo pita.
Hiz n porojo tu,petrol bado itaendelea kutumika miaka na miaka zaidi

Unaweza kuta hilo gari maintenance yake ni ya gharama kubwa sana afu kila baada ya muda mfupi na huenda hata halina nguvu kama haya yanayotumia petrol
 
Hawa Waisrael kweli ni Taifa teule. Mungu amewajalia akili na maarifa kupambana na maisha ya hapa duniani.
 
Kutenganisha bond kwenye maji pekee inatumika electric current kubwa,lakini kama utaongeza alkali kama Potassium Hydroxide na kupata strong electrolyte,itakuwa rahisi kutenganisha H2 na O2 kwa ufanisi na gharama kidogo.
 
Kutenganisha bond kwenye maji pekee inatumika electric current kubwa,lakini kama utaongeza alkali kama Potassium Hydroxide na kupata strong electrolyte,itakuwa rahisi kutenganisha H2 na O2 kwa ufanisi na gharama kidogo.
Naomba kujua kama gharama zitaakisi faida kinachopatikana
 
si mara ya kwanza kutengenezwa gari kama hili watu kibao walishafanya lakini sijui kwanini huwa haliendi sokoni. Mojawapo ya jambo ambalo niliwahi kusoma kwanini huwa yanaishia kuwa prototype ni kwamba nguvu inayotumika kubadilisha hayo maji kuwa nishati ni kubwa kuliko kionachopatikana.
Unless kama wamekuja na break through ya hicho hiki cha gari la kutumia maji si kitu kigeni.
 
Hii nimeona Japan pia wameweza kuifanya. Baada ya kupata changamoto mara kadhaa, this time wamefanikiwa na ni salama kwa maxingira kuliko hata gari za umeme, sababu yenyewe haitumii kabisa betri.
Wakati nafuatilia walisema gari hiyo haitumii maji maalum bali hata yale uliyotumia kuoshea vyombo na inatumia maji kidogo sana.
 
Mwarabu yeye anavuga midevu tuu , kuoa wake wengi na kuoa vitoto hakuna chochote anachoweza KUGUNDUA
Kama ameweza kuendesha mashirika makubwa ya ndege hadi kuwashinda aliyoanzisha huyo muogope
Kama ameweza kiluwekeza hadi huko ulaya na wakamuheshimu na kumpa hadi umiliki wa airport zao na timu zao kubwa huyo sio mwenzako wewe kale makande yako uendelee kuilaumu serikali, hao sio level zako
 
Hawa jamaa zenu waongo waongo wakati wao wanaleta story porojo zao ,wajapan wameshazindua gari kwa kutumia maji, wajapan maneno kidogo vitendo vingi
Ila ukweli kwamba magari ya mafuta yamekuws reliable compared to hizi taka taka nyingine
 

Attachments

  • Screenshot_20240907-112608_Chrome.jpg
    424.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…