Wayahudi wazidi kuishangaza dunia, watengeneza gari linalotumia maji badala ya mafuta

Natoa offa, Leo nimetembelea uwanja wa sokoine mbeya kuna mechi. Kama kuna mtu yupo hapa aje tusalimiane nimnunulie hata kinywaji.
 
Pia kuna kitu kingine Na Kwa wale ambao mmepitia course za Engineering hasa umeme na mechanics , definitely Wana ufahamu wa hii ratio " Energy weight ratio " Yaani uwiano wa uzito wa nishati na means zake na kiasi cha nishati kinachozalishwa , unapo design mtambo au chombo cha usafiri hii factor ni muhimu , sasa ukiangalia uzito wa hydrogen fuel cells ni mkubwa kuliko kiasi cha nishati kuinachozalishwa ukilinganisha na mafuta na engine kwenye propulsion system ya gari sasa hilo gari halitakuwa effective kama gari linalojiendesha kwa mafuta ,yaani energy density au kiasi cha nishati inayotokana kutokana na kuchoma mafuta kwenye engine ni kubwa kuliko nishati inayotokana na electrolyisis ili kupata hydrogen kuendesha propulsion system ili kuendesha chombo hivyo efficiency no ndogo na hivyo itakulazimu uwe na hydrogen fuel kubwa zaidi ,kitu ambacho kutaongeza uzito mkubwa kwenye chombo cha usafiri
 
Ile gunduzi ya kufuatilia magaidi kwa njia ya vinasaba pia inamaliza sana viongozi wa magaidi. Wanachukua vinasaba hata vya ndugu ya kiongozi wa gaidi halafu wanaanza kufuatilia target au possible areas. Wanawatungua kweli kweli hata km watakuwa wamevaa mavazi ya kike
 
Pia kuna kitu kingine Na Kwa wale ambao mmepitia course za Engineering hasa umeme na mechanics , definitely Wana ufahamu wa hii ratio " Energy weight ratio " Yaani uwiano wa uzito wa nishati na means zake na kiasi cha nishati kinachozalishwa , unapo design mtambo au chombo cha usafiri hii factor ni muhimu , sasa ukiangalia uzito wa hydrogen fuel cells ni mkubwa kuliko kiasi cha nishati kuinachozalishwa ukilinganisha na mafuta na engine kwenye propulsion system ya gari sasa hilo gari halitakuwa effective kama gari linalojiendesha kwa mafuta ,yaani energy density au kiasi cha nishati inayotokana kutokana na kuchoma mafuta kwenye engine ni kubwa kuliko nishati inayotokana na electrolyisis ili kupata hydrogen kuendesha propulsion system ili kuendesha chombo
Mfumo huu si mpya ulianza miaka mingi isipokuwa kigugumizi kinatokana na usalama wa huo mfumo kama ulivyositishwa kwenye ndege.
Hata kwenye meli , wamejaribu kudesign meli za kutumia hydrogen kama source ya power ,Ila imekuwa mtihani bado , kuna vitu hasa safety ya milipuko ya moto na efficiency no tatizo , kumbuka kila mtambo au kifaa kinakuwa designed Kwa kuangalia ratio za efficiency
 
Mpaka muda huu propulsion system ya meli kwa kutumia mafuta mazito ni more superior kuliko hydrogen cells propulsion system
 
Ni kweli kabisa ulisemalo
Nimekaa sana Middle East nchi za mafuta hizo kwa miaka 10 najua in and out yao
Tatizo hawataki kufanya kazi zaidi ya kupewa ukubwa tu
Sasa ukubwa unasaidia nini kama hawajiongezi
Wengi wamefukuzwa kwa elimu ndogo
Wameshtuka baada ya vita 1990 Kuwait
Yaani hata kubadili tairi walikuwa hawajui, yaliwakuta
Ila wamebadilika sana hata mishahara wamepunguza sana na nchi kama Oman wao wana system yao ya Nationalization top job zote washike wao
Kama manager wa Bank alikuwa Mhindi basi M Oman aliesoma akirudi anakuwa msaidizi pindi atakapostaafu huyo manager au kuacha kazi au hata kufa ndio m Oman atashika
Na wote wanasomeshwa nje bure kama 🇺🇸 au 🇬🇧 au sehemu yeyote duniani
Baada ya miaka kadhaa watajitegemea kwa kila kitu
Watakuwa na viwanda vikubwa
 
Inasadikika kule Israel kuna baadhi ya watu ni malaika waliovaa mwili ndo mana kuna Gunduzi ambazo lazima ujiulize kwamba uyu sio binadamu wa kawaida.
Acha upumbavu wewe ,China na Marekani ndio nchi zinazoongoza kwa vumbuzi / innovations za technology duniani mpaka sasa na huko hizo vumbuzi zinafanywa na wachina wenyewe na wahindi pale Marekani ,wayahudi wako feki hao wamevumbua utalii wa ushoga na kusagana tu kule Tel Aviv labda
Ninyi watu ni wajinga sana
 
Tech ya kizamani sana hio.
Hydrogen bomb ni zaidi ya nuclear kwa nguvu yake.
Waache watengeneze hydrogen bombs, hivi mlishatafakari gari linalotumia hydrogen lipate ajali sema ni bus la abiria, hatoki mtu.

Hizo ni tech za maabara, gas na mafuta bado havikwepeki.
 
Huo umeme wa kuwasha taa ya kuku unatushinda ........ndio huo uwe wa kuchaji treni ..............mbona mtakaa kwenye chaji mwezi..........
Kwa hiyo wewe unaamini tutakuwa na hali hiyo hiyo milele; na kwamba tuikubali hali kama ilivyo, au unasemaje mkuu wangu!
 
Duh!

Hii sayansi mbona umeivuruga kiasi hiki?
Tueleze kwa ufasaha zaidi uyajuayo wewe kisayansi jinsi "Hyadrogen" ya BOMU, ndiyo hiyo hiyo "Hydrogen" ya kutengeneza nishati.

Nijuavyo mimi kwa haraka haraka bila kurejea teknolojia hizo kwa undani wake; "Hydrogen" hii ya nishati haiivunji 'atom' yenyewe (H2); kama inavyo fanyika kwenye BOMU. Hydrogen hii inabaki kama ilivyo na baada ya kutoa nishati inaungana tena na Oxigen kutengeneza maji kama mwanzo. Hiyo ya BOMU huioni tena.
Kwa hiyo hapa ni vitu viwili tofauti kabisa. Usitake kutisha watu bure.
 
Waisraeli wmetapakaa dunia nzima, ndio wamiliki wakubwa wa makampuni ya teknolojia duniani, jiongeze
 
Waisraeli wmetapakaa dunia nzima, ndio wamiliki wakubwa wa makampuni ya teknolojia duniani, jiongeze
Hadi China na Urusi na India?
Basi hii itakuwa hatari sana!
 
Nani alikudanganya kwamba mataifa mbalimbali ulimwenguni yanashindwa kutengeneza magari ya kutumia maji?

Watu wanalinda biashara ya mafuta duniani maana mataifa makubwa yote utajiri wao unategemea mafuta kwa kiasi kikubwa.

Kwahiyo wakianza kutengeneza magari yanayotumia maji ujue uchumi wao kwisha habari.

Kwahiyo Myahudi kutengeneza gari la aina hiyo wala sio kitu cha kushangaza.
 
Waisraeli wmetapakaa dunia nzima, ndio wamiliki wakubwa wa makampuni ya teknolojia duniani, jiongeze
Brands za israel hazijawahi kufaanikiwa embu achana na ulichokaririshwa kwa mchungaji wako
Naona muisrael wa mbagala unabishana hadi na waisrael wa tel aviv ambao wametumia hela nyingi kufanya research wakatoa habari, ila ukishiba makande unaropoka tu kisa umeambiwa na mchungaji wako
 

Attachments

  • Screenshot_20240907-182854_Chrome.jpg
    498.9 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…