Wayahudi wazidi kuishangaza dunia, watengeneza gari linalotumia maji badala ya mafuta

Huo ni msimamo wako wa kigaidi
 
Lini uliwaongelea Israel kwa mazuri?
 
Hata kama likija sokoni, inawezekana likawa expensive sana..............ila tuendako hata ungo unaweza kuwa ugunduzi wetu
 
Huo ni msimamo wako wa kigaidi
Na hawa ynet news kutoka tel aviv nao ni magaidi ? Maana ndio waliofanya research na kuja na conclusion hiyo, au mwenzetu unajua zaidi ya wao kuhusu israel?
 

Attachments

  • Screenshot_20240907-182854_Chrome.jpg
    498.9 KB · Views: 2
Hawajaanza wao sema wao wameshikilia media za dunia sasa wanadanganya wameanza wao.

Waongo sana hao.

Hio teknolojia sio ya leo, ya kabla ya mafuta kuanza kutumika.
Tupe ushahidi sio kila wakati ni kuleta tu chuki za kipumbavu za kidini halafu utuletee na ya Iran, Yemen na Afghanistan.
 
Toyota.
 
Tupe ushahidi sio kila wakati ni kuleta tu chuki za kipumbavu za kidini halafu utuletee na ya Iran, Yemen na Afghanistan.
Mkuu hii technology ipo tangu 1860 na ilianzia france sio ngeni , na jana gari ya kwanza kwenye karne hii imetengenezwa na toyota japan
 

Attachments

  • Screenshot_20240907-200818_Chrome.jpg
    95.2 KB · Views: 2
Hapana ugaidi ni jadi, Afrika ugaidi sio jadi yetu.
 
Hayo ni mataifa yanayoiba teknologia ya wengine
Huwezi kuiba teknolojia usiyo ielewa; na pia inabidi uelewe kwamba hakuna taifa hata moja ambalo ndilo pekee linahodhi teknolojia.
 
Kwa hiyo wewe unaamini tutakuwa na hali hiyo hiyo milele; na kwamba tuikubali hali kama ilivyo, au unasemaje mkuu wangu!
Yaani sijui unaongelea nini ......?? Wewe sijui raia wa Burundi? Hapa kwangu tu leo umekatika mara 2 sasa ndio tufate uhalisia kwamba hii treni kuichaji labda ni masaa3 ndio betri liwe full ........umeme umekatika mara tatu mpaka nne kwa siku moja au usiwake kabisaaa huoni kama ni shido???
 
Huu tusi ufanye mjadala kama ni jambo la maana sana kuongelewa. Hakuna mtu mwenye kuitakia Tanzania mema anaye fikiri nchi hii itabaki kuwa katika hali hiyo milele; hapana, isiwe "milele"; kwa sababu mimi siioni Tanzania ya aina hiyo unayo iona wewe, hata katika muda mfupi wa miaka miwili mitatu baada ya utawala mbovu huu kuondolewa..

Lakini hata kama tungebaki kuwa na uhaba wa nishati hiyo kama unavyo ielezea hapa; bado ninge dhani kuwa ungetambua kwamba "Betri" ya kuendeshea treni isinge kuwepo moja tu; kwamba kila inapo tumika inasubiriwa hiyo hiyo ichajiwe tena upya huku treni hiyo ikisubiri hadi Betri yake ijazwe ndipo iweze kuendelea na shughuli zake.
Betri iliyokwisha inaondolewa inawekwa nyingine na kazi inaendelea.

Na hata hivyo, badala ya kuwa 'pessmistic' kama ulivyo, ningekuelewa sana kama ungejaribu kuwa na mchango wa kutatua matatizo kama haya, au ushauri juu yake.

Kwa mfano: wewe huoni nasi tungesifika endapo kama tunge changia kuifanya treni hiyo iendeshwe na 'Solar'; kwani hapa kwetu kila mara jua lipo. Tutashindwa kweli kuweka tu 'photovoltaic panels' kwenye treni hiyo na kuendelea kuchaji hizo betri zetu?
 
Nikujuze tu Hizi engine za kutumia maji na mambo ya nishati mbadala wazungu wameshahangaika sana tangu 1860 huko hadi leo bado hawajafanikiwa kuondoa ubora wa diesel engines na petrol engines sokoni
Emgine ya kwanza ya kutumia maji ilitengenezwa 1860 ufaransa na mtu anaitwa ettien wakaendelea kuboresha lakini ikashindwa kuingia sokoni kwa sababu mbali mbali
China wana hadi treni inatumia maji ipo kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa, ila juzi wameismamisha baada ya operation cost kuwa kubwa
Kwahiyo hakuna kipya hapo diesel na petrol itaendelea kuwa bodhaa muhimu kwa karne kadhaa zijazo
 

Attachments

  • Screenshot_20240908-075315_Chrome.jpg
    396.9 KB · Views: 2
Naomba picha ya hiyo Gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…