Wayahudi wazidi kuishangaza dunia, watengeneza gari linalotumia maji badala ya mafuta

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Kampuni ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.

Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine baada ya kilometa 1,000.

Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka kwenye maji uliyoyajaza, na hydrogen ndiyo inayoliendesha gari hilo. Wataalam wa masuala ya nishati wanasema kuwa ugunduzi huu wa nishati ya maji katika kuendesha magari, unaweza kuwa ni safari ya kuiaga petrol na nishati nyingine zenye madhara kwa mazingira. Bado haijajulikana gari hili linaweza kuingia sokoni baada ya muda gani. Kwa sasa bado lipo kwenye majaribio mbalimbali.

Ugunduzi wa nishati mbadala litakuwa ni janga kubwa la kiuchumi kwa mataifa hasa ya Kiarabu, yale ambayo uchumi wake kwa kiasi kikubwa unategemea mafuta. Hapa myahudi atakuwa amefanikiwa kummaliza kabisa adui yake mkuu Iran, ambaye uchumi wake, kwa zaidi ya 80% unategemea mauzo ya mafuta pekee yake.

Ugunduzi huu si wa ajabu kutoka kwa hawa watu, maana kuna gunduzi msululu za sayansi na tekinolojia, zinazotumika Dunia nzima, zilizofanywa na hawa watu. Ingependeza siku moja wagundue silaha inayoua gaidi pekee, ikiwaacha watoto na watu wengine wote wasio na hatia. Maana vifo vya watoto wadogo pale Palestina, vinaumiza na kusikitisha sana.

Soma Pia: Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?

The water-powered car technology developed by the Israeli company Electriq Global utilizes a unique nano-technology that is able to split water into hydrogen and oxygen through a specialized membrane.

This membrane acts like an electrolytic cell, using electricity to break down the water molecules into their composite elements. The hydrogen produced from the reaction is then fed into the vehicle’s fuel cell.

In the fuel cell, the hydrogen combines with oxygen from the air to generate an electric current. This electricity powers the car’s electric motor, propelling the vehicle. Unlike traditional combustion engines, the only byproduct from this reaction is water, meaning the car emits only clean water vapor rather than any harmful emissions.

The test car achieved speeds over 70 mph and required no engine modifications besides connecting to an external water tank and fuel converter. Further road tests are planned using a Suzuki Vitara SUV retrofitted with a larger fuel converter and water tank to extend its range.

Electriq’s goal is to demonstrate over 600 miles per tank, comparable to traditional gasoline vehicles. So far, the technology has shown excellent results in normal driving conditions.

The truth is that a water car could be the end of petrol and all polluting fuels. We have known for years that hydrogen would play a very important role in the decarbonisation of mobility, but not to this extent. Will we soon see it on our roads? Let’s hope so, given its advantages.

1725781832711.png
1725781832711.png

Kama ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.

Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine baada ya kilometa 1,000.

Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka kwenye maji uliyoyajaza, na hydrogen ndiyo inayoliendesha gari hilo. unabadilisha maji. Wataalam wa masuala ya nishati wanasema kuwa ugunduzi huu wa nishati ya maji katika kuendesha magari, unaweza kuwa ni safari ya kuoaga petrol na nishati nyingine zenye madhara kwa mazingira. Bado haijajulikana gari hili linaweza kuingia sokoni baada ya muda gani. Kwa sasa bado lipo kwe ye majaribio mbalimbali.

Ugunduzi wa nishati mbadala litakwluwa ni janga kubwa kwa mataifa hasa ya Kiarabu, yale ambayo uchumi wake kwa kiasi kikubwa unategemea mafuta. Bapa myahudi atakuwa amefanikuwa kummaliza kabisa adui yake mkuu Iran, ambaye uchumi wake, kwa zaidi ya 80% unategemea mauzo ya mafuta pekee yake.

Utukufu na ukuu u-nayeye Bwana,Jina lake Lihimidiwe daima na milele Aimen 🐒
 
Sio israel tu nchi nyingi zimejaribu kutengeneza mashine kwa kutumia nishati mbadala lakini gari za diesel na petrol zimeendelea kuleta ufanisi mkubwa sana kwa watumiaji ,na ukiangalia israel hana historia ya kufanya vizuri kwenye global market bidhaa zake mara nyingi zinashindwa kushindana sokoni, tofauti na wenzake wa asia, europe na marekani
 
Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka kwenye maji uliyoyajaza, na hydrogen ndiyo inayoliendesha gari hilo
Hii "Hydrogen" siyo wayahudi tu mkuu; miradi hiyo imetapakaa sehemu nyingi nyingine sasa hivi. Ndiyo inayo itwa "Green Hydrogen". Najuwa hata hapa Africa kuna mataifa kadhaa yanayo jiapiza kuitafuta teknolojia hiyo; kwa mfano Egypt.

Ngoja nikupe taarifa nyingine nzuri pia ya kuachana na uchafu wa 'carbon'.

Tesla wameweka 'Treni ya abiria inayo endeshwa na umeme kwa kutumia Battery. Train inachukwa watu 500 na ushee.

Sasa fikiria; kati ya Mwendo kasi zetu hapa Dar na Treni ya umeme wa battery ikisambazwa maeneo mbali mbali hapa mjini.

Badala ya kuchimbua barabara zetu hizi mimi ninge shauri tutengeneze miundo mbinu ya reli za namna hiyo; kwenda huko Gongo la Mboto; Mabibo, na sehemu nyingi nyingine hapa mjini.
 
Kama ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.

Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine baada ya kilometa 1,000.

Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka kwenye maji uliyoyajaza, na hydrogen ndiyo inayoliendesha gari hilo. unabadilisha maji. Wataalam wa masuala ya nishati wanasema kuwa ugunduzi huu wa nishati ya maji katika kuendesha magari, unaweza kuwa ni safari ya kuoaga petrol na nishati nyingine zenye madhara kwa mazingira. Bado haijajulikana gari hili linaweza kuingia sokoni baada ya muda gani. Kwa sasa bado lipo kwe ye majaribio mbalimbali.

Ugunduzi wa nishati mbadala litakwluwa ni janga kubwa kwa mataifa hasa ya Kiarabu, yale ambayo uchumi wake kwa kiasi kikubwa unategemea mafuta. Bapa myahudi atakuwa amefanikuwa kummaliza kabisa adui yake mkuu Iran, ambaye uchumi wake, kwa zaidi ya 80% unategemea mauzo ya mafuta pekee yake.

Ugunduzi huu si wa ajabu kutoka kwa hawa watu, maana kuna gunduzi msululu za sayansi na tekinolojia, zinazotumika Dunia nzima, zilizofanywa na hawa watu. Ingependeza siku moja wagundue silaha inayoua gaidi pekee, ikiwaacha watoto na watu wengine wote wasio na hatia. Maana vifo vya watoto wadogo pale Palestina, vinaumiza na kusikitisha sana.

The water-powered car technology developed by the Israeli company Electriq Global utilizes a unique nano-technology that is able to split water into hydrogen and oxygen through a specialized membrane.

This membrane acts like an electrolytic cell, using electricity to break down the water molecules into their composite elements. The hydrogen produced from the reaction is then fed into the vehicle’s fuel cell.

In the fuel cell, the hydrogen combines with oxygen from the air to generate an electric current. This electricity powers the car’s electric motor, propelling the vehicle. Unlike traditional combustion engines, the only byproduct from this reaction is water, meaning the car emits only clean water vapor rather than any harmful emissions.

The test car achieved speeds over 70 mph and required no engine modifications besides connecting to an external water tank and fuel converter. Further road tests are planned using a Suzuki Vitara SUV retrofitted with a larger fuel converter and water tank to extend its range.

Electriq’s goal is to demonstrate over 600 miles per tank, comparable to traditional gasoline vehicles. So far, the technology has shown excellent results in normal driving conditions.

The truth is that a water car could be the end of petrol and all polluting fuels. We have known for years that hydrogen would play a very important role in the decarbonisation of mobility, but not to this extent. Will we soon see it on our roads? Let’s hope so, given its advantages.
kuna nyuzi bila picha hazinogi ujue mpwa!!!
 
Back
Top Bottom