tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,435
- 4,788
Kwa nini taasisi na mashirika ya serikali hutangaza tenders na kuingia mikataba ya manunuzi wakati fedha za kulipia bidhaa au huduma husika hazipo au cash flow yake haina uhakika? Mwisho wa siku suppliers wanapeleka bidhaa au kutoa huduma, lakini malipo yanachelewa kwa muda mrefu.
Je, hali hii si moja ya sababu zinazochangia kuongezeka kwa domestic debt ya serikali? Kama fedha hazipo, kwa nini taasisi zisiweke procurement plans zinazolingana na available budget na fedha zilizopo?
Kwa mfano, hospitali inaweza kuagiza dawa, vifaa au reagents kwa mabilioni ya shilingi, lakini baadaye kushindwa kuwalipa suppliers kwa wakati. Matokeo yake ni madeni kuongezeka, wafanyabiashara kukosa mtaji wa kuendesha biashara zao, na gharama za bidhaa kuendelea kupanda kutokana na risk ya kutolipwa.