Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

Unaposema hata moja hatupati ina maana hata Kenya tushindwe kudraw nao? Ulichoongea hapo ni kweli kabisa ila hata hawa majirani zetu watushinde?

Kweli
Kweli
Kweli?

Hii itaniuma sana!! hawa majirani ndio wachovu wenzetu nawao ndio watushinde kweli?
Yaaaani nimecheka mpaka basi,

Hao wakenya nadhani tuu itabidi wafanye wafanyavyo tuwafunge aseeeee



Eti hata kenyaaa
 
Hahahaha hii inathibitisha unaunga mkono hoja. Ahsante kwa ukaribishompendwa. Nije kama nilivyo au nije na IST kabisa?
[emoji15] [emoji15] hapana siungi mkono hoja, Mimi ninaamini Tuna point 3 kwa Harambee na Senegal tuna yetu moja ndivyo Ninavyojiliwaza, kukukaribisha Tabora Ni ule ukarimu wa kabila langu maana utachanganyikiwa matokeo yakiwa kinyume na matarajio yako [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nami nasema... TUFUNGWE TU. Maana hamna namna tena
Hawafungwi ng'oooo!!Wao wanacheza kutumia miguu miwili na Taifa Stars nao wanatumia miguu miwili.Subiri Taifa Stars itakapoushangaza ulimwengu wa soka.Usiseme naota ndogo,bali amini kuwa hata ndoto huumba pia.
 
Hawafungwi ng'oooo!!Wao wanacheza kutumia miguu miwili na Taifa Stars nao wanatumia miguu miwili.Subiri Taifa Stars itakapoushangaza ulimwengu wa soka.Usiseme naota ndogo,bali amini kuwa hata ndoto huumba pia.
Hiyo miguu miwili tulikuwa nayo tangu zamani. Mi nasema tufungwe tu
 
Ninamuua stars kupitia muhindi kama sina akili nzuri
 
Miujiza hiyo hiyo itaifanya Taifa Stars ifike mbali.Mimi nawaombea wafike mbali na watuwakilishe vyema.

Tusiwabeze,tuwatie moyo.Tusitegemee Kenya waisifu timu yetu pasipo sisi kuisifu wenyewe.
Kila kitu tunabeza,sisi Watz tukoje?
Kufika mbali mbele ya Senegal ndugu?.Apo uzalendo tu ila ukweli uta tamalaki daima
 
As long as BASHITE anaongoza kampeni mi nishahamia Algeria, Senegal na Kenya

Wapigwe tu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…