Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah kama koroshoNani anaumbuka kama sio jiwe na nyie waimba mapambio wake? Na mtaumbuka hivi hivi kwa kila kitu.
Inanukia wapi?
Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha
Huku hakuna hiyoNafasi ya best loser inanukia.
Tanzania kinachoweza kushinda ni CCM...
Unasema kweli?
Hahaha Waliisahau tume ya uchaguzi NEC wangeenda nayo
Hahaha CAF walimbania nni?Naskia jecha walimwacha airport
Teh ....Hahaha CAF walimbania nni?
Hongereni Wakenya kwa ushindi!Nani anaumbuka kama sio jiwe na nyie waimba mapambio wake? Na mtaumbuka hivi hivi kwa kila kitu.
TumbafuWaliofungwa ni team ya CCM, siyo taifa stars