Wazalendo wa Ukraine wajichukulia mzinga wa Urusi, tena wa gharama sana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana....
R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee...

Ukrainian forces recovered one of Russia’s most advanced hypersonic missiles​

The Armed Forces of Ukraine have recovered the intact wreckage of a rare Russian hypersonic air-to-air missile that has been used against Ukrainian jets since the beginning of the war.

The Vympel R-37M hypersonic missile​

A video shared on Twitter by an ex-intelligence officer and ethical hacker David Kime showed the recovery of a Vympel R-37M hypersonic missile by Ukranian forces at some point in early February 2023.
 
Utateseka sanaaaaa na fake news. Sisi tunaendeleza tu kichapo kimyakimya
 
bakhmut jana io. source wegna wenyewe.
wameanza kutajana hukuii
 
Attachments

  • IMG_5405.jpg
    IMG_5405.jpg
    100.4 KB · Views: 11
MK254 :

Wakati mwingine unachekesha sana - tangu lini jet fighters zinakeba mizinga - lini??

Kitu kingine kila siku unatujia hapa na stori uchwala jinsi warusi walivyo nyuma kwa karibu nyanja zote - sasa huu mzinga ambao unasema ni babu kubwa Duniani umeundwa kutoka kiwanda gani chini Urusi na kwa nini mabeberu wako ambao mpaka sasa hawana hata hypersonic missile hata moja hata ya kisingiziwa kwa nini wana shahuku kubwa ya ku-reverse engineer missile ya Warusi, si Wamerikani hujifanya zaidi kiteknolojia na wala sidhani kama missile hiyo ni hypersonic, itakuwa supersonic tu.

Sasa mkuu unaweza kitu elimisha mzinga huo babu kubwa unao uzungumzia hapa umeundwa kutoka kiwanda kipi huko Urusi, si unasemage Warusi hawana viwanda vya silaha vya maana kuliko vya Merikani, sasa je mzinga huo babu kubwa labda umeundwa kwenye viwanda vyenu vya jua kali huko Kenya au?
 
Utakua umechanganyikiwa au kingereza kimekupiga chenga sheikh, wapi imesemwa jet fighter imebeba mzinga...
 
Back
Top Bottom